Kuna bomu linakaribia kulipuka muda wowote

Kuna bomu linakaribia kulipuka muda wowote

FAO LA KUJITOA, FAO LA KUJITOA, FAO LA KUJITOA, Hili fao lingesaidia sana vijana kupata mitaji ya kujiajiri na kuja kuajiri wengine na wengine na serikali ingeongeza walipa Kodi na mifuko ya hifadhi ingeongeza wanachama, unamkuta kijana yupo kijiweni Hana chakufanya huko kwenye mfuko wa hifadhi anapesa kama angepewa angeweza jikomboa na kukomboa wengine Tena akiwa na nguvu, hili fao lingerudishwa hata kwa asilimia Fulani au Kwa vigezo Fulani mfano kijana kuwa na mchanganuo wa kile anachotaka kwenda kufanya.
 
Overpopulation ni tatizo kubwa linalochangia ukosefu wa ajira. Kasi ya ukuaji wa idadi ya watu inabidi kudhibitiwa ukichangia kasi ya ukuaji uchumi wetu ni ndogo.
[emoji23][emoji23][emoji23] boss nchi yetu haina overpopulation bali ina bajeti ndogo ya taifa. Kwa overpopulation hatujafika huko sema Dar ndio inaoverpopulation
 
..........Hakuna sababu kwa Nini kuwe na unemployment kubwa hivyo wakati employment vacancies zipo ispokuwa tu ni poor planning na kuwachukulia vijana poa tu.......... (It is as if those responsible do not care at all)
 
Cha muhim jamii ibadilike kila nyumba ina mwalim wa arts watu waanze kusomea fani zingine tatizo vijana tunafikiri kazi za ufundi ni kazi za watu waliofeli ila huko ndo hela zilipo tena hubembelezi mtu ni wewe tu unaamshwa na sim za wateja
 
Overpopulation ni tatizo kubwa linalochangia ukosefu wa ajira. Kasi ya ukuaji wa idadi ya watu inabidi kudhibitiwa ukichangia kasi ya ukuaji uchumi wetu ni ndogo.
Hii sababu isipozingatiwa tutaendelea kulalamika tu, Taifa lolote lenye mipango thabiti linazingatia sana namna ya kubalance idadi ya watu wake, ongezeko la watu ni muhimu liendane na fursa na ukuaji wa uchumi wa taifa husika, muhimu sana. Mataifa ya ulaya wamefanikiwa kuwa na Uchumi mkubwa, fursa zinazodi idadi ya watu. Hii inawafanya tatizo la ajira kuwa na athari ndogo kwao
 
.....Kwa Sasa hivi kwakweli jukumu la ajira nadhani familia Sasa zinapaswa kuwajibika......tunapoanza kujenga familia tutambue kabisa kuwa urithi wa mtoto wako sio elimu tu ni elimu with impact.......yaani moja ya jukumu la mzazi Kwa hii Karne ya 21 ni kuhakikisha malezi kwa mtoto yanakamilika Kwa kumuacha akiwa kaajiriwa au kajiajiri.......ila tukiendeleza hii dhana ya kuzaa halafu unamuacha na elimu yake ya chuo kikuu ambayo haina impact, tutatesa watoto it hii dunia.....lakini pia Hili la kuzaa eti ili waje watusaidie uzeeni bila kuwaandalia urithi ambao ni tangible kwakweli tunakosea sana.....
 
Najua humu kuna watu wa level tofauti za elimu na uwezo tofauti wa kupambanua mambo binafsi nawaomba kwenye hoja ya population muiache kabisa hasa katika muktadha mnaozungumzia, mnaweza mkamlaumu mwendazake kwa mambo mengi sana ila kama kweli akili zenu zinafanya kazi vizuri basi mtaona na mazuri mengi aliyoyafanya katika taifa hili, kwanza kabisa suala la unemployment katika mataifa mengi ya kiafrica hayasababishwi na high rate of population growth sababu mataifa mengi ya kiafrika yana idadi ya watu ambayo ni ndogo ukilinganisha na rasilimali iliyopo bado tunatakiwa tuendelee kuzaliana kwa wingi angalau kumeet lile gap la rasilimali na population tuliyonayo.

Ukosefu wa ajira ni matokeo ya mifumo mibaya ya kielimu ambayo inamsaidia kijana kuondokana na ujinga tu na sio kuwa innovative katika mazingira yake hilo ni pamoja na sera mbaya katika kusimamia mgawanyo sawa wa rasilimali zinazopatika katika maeneo yetu. Kwa upande mwingine chukulia mfano babu zetu hawakuwa na ajira na walikuwa na wake wengi na watoto lundo na waliwasomesha wote waliokuwa tayari kwenda shule just kwa shughuli za kilimo na ufugaji leo sisi vijana tumesoma wote tumekuja daslam tumelundamana hapa tumeacha vijijini kwetu maeneo makubwa yamekuwa mapori maana hakuna shughuli za uchumi zinazoendelea huko wote tunataka kukaa ofisini kwa kifupi tumekuwa WAVIVU sana hatutaki tena kazi ngumu tuko tayari kuwa wapambe wa watu waliofanikiwa bila aibu tumeuza UTU wetu na wengine wameenda mbali zaidi wameuza jinsia zao kwa wanaume wenzao ili tu aweze kuishi mjini.

Tujitafakari sana kama taifa maana wazungu wametuingiza kwenye mtego wa mda mrefu na sasa tumenasa maana walituletea elimu ambayo ilitakiwa ituwezeshe kutumwa na wao na sasa tumekuwa watumwa wa kifikra.
Hatujaweza kuitumia vizuri hiyo population kwa tija, watu wanaongezeka na hatuna namna zenye ufanisi bora wa kuwaandaa ili wawe na tija kwa uchumi wetu, matokeo yake hawa watu wanageuka kuwa mizigo kwa kundi ndogo linalozalisha, hawa watu wanaongezeka kama tungewaandaa vema wangeweza hata kujiajiri wao binafsi
 
Lakini tatizo liko kwa wa itimu wenuew awana madini kichwani wanakatisha tama pia wanawza kula bata pasipo kufanya kazi
 
FAO LA KUJITOA, FAO LA KUJITOA, FAO LA KUJITOA, Hili fao lingesaidia sana vijana kupata mitaji ya kujiajiri na kuja kuajiri wengine na wengine na serikali ingeongeza walipa Kodi na mifuko ya hifadhi ingeongeza wanachama, unamkuta kijana yupo kijiweni Hana chakufanya huko kwenye mfuko wa hifadhi anapesa kama angepewa angeweza jikomboa na kukomboa wengine Tena akiwa na nguvu, hili fao lingerudishwa hata kwa asilimia Fulani au Kwa vigezo Fulani mfano kijana kuwa na mchanganuo wa kile anachotaka kwenda kufanya.
Boss huko kwenye mifuko ya kijamii wamekula pesa zote na ndio sehemu iliyobakia ya wao kupiga ndio maana kila uchwao kikotoo cha mstaafu kinachezewa na pesa yake imeisha. Acha utani wewe[emoji23][emoji23]
 
Hii sababu isipozingatiwa tutaendelea kulalamika tu, Taifa lolote lenye mipango thabiti linazingatia sana namna ya kubalance idadi ya watu wake, ongezeko la watu ni muhimu liendane na fursa na ukuaji wa uchumi wa taifa husika, muhimu sana. Mataifa ya ulaya wamefanikiwa kuwa na Uchumi mkubwa, fursa zinazodi idadi ya watu. Hii inawafanya tatizo la ajira kuwa na athari ndogo kwao
Unemployment rate ulaya ni kubwa pia, usidhani ni huku tu. Actually lilianzia kwao, sema kule government inamlisha na kumtunza mwananchi mfano marekani. Kuna government payments as a citizen, kule kuna homeless people ila sio watu wanaokosa kula au kuishi maana kule ardhi ni bei kubwa mno.
 
Huu ni ushetani. Hata watoto walioanza kidato cha kwanza wana imani kubwa kuliko Ibrahim.

Ila yana mwisho.
 
Overpopulation ni tatizo kubwa linalochangia ukosefu wa ajira. Kasi ya ukuaji wa idadi ya watu inabidi kudhibitiwa ukichangia kasi ya ukuaji uchumi wetu ni ndogo.
Tanzania haina overpopulation, bado nchi yetu inahitaji watu wengi angalau tuwe milioni 100
 
Unemployment rate ulaya ni kubwa pia, usidhani ni huku tu. Actually lilianzia kwao, sema kule government inamlisha na kumtunza mwananchi mfano marekani. Kuna government payments as a citizen, kule kuna homeless people ila sio watu wanaokosa kula au kuishi maana kule ardhi ni bei kubwa mno.
Kazi yenu ni kujilinganisha na ulaya. We unajua number ya wasomi ulaya? Karibu nchi nzima wana minimum kuanzia high school ama diploma.

Tanzania wamesoma wangap hata ngazi ya cheti?

Pia hao roll model wenu wa mchongo ulaya wanalipa unemployment alawance kila mwez kwa vijana wasiona ajira wakijua ni jukumu la serikali inayochukua kodi kila siku.

Je nyie mnawapa nini hao vijana pamoja walioko mtaani wengine tangu mwaka 2014?
 
Na hawa ndio watu pekee watakao tusaidia kuwatoa CCM madarakani, acha wajae tu mkuu siku wakichoka itakuwa rahisi sana kukitoa hiki kizazi cha watu walio laaniwa(CCM), mimi nikiona ma-jobless wanaongezeka mitaani kwakweli nafarijika sana naamini hawa ndio watu pekee wa kulikomboa hili taifa siku wakiamka.

Hawa CHADEMA na act wazalendo ni CCM wale wale tu hawana jipya tena, wazazi tafadhali sana pelekeni vijana wenu vyuoni wakasome taifa linaangamizwa na wajinga wachache.
Hakuna mwanasiasa mwenye malengo ya kumkomboa mtu yeyote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa nasikitika mno kwa kiwango cha kuugua ninapoona wale wasiosoma wanamcheka msomi wa digrii wanamwambia elimu yako imekusaidia nini.

Wakat wao wanaishi mjini kwa ushirikina na chuma ulete.

Yan inasikitisha mno.
 
Tunambebesha Samia lawama za bure tu. Yule Magufuli aliharibu mfumo mzima wa ajira na kipato katika nchi. Kwanza kwa kuanzisha miradi ambayo haina maana kama bwawa la Mwl Nyerere, kujenga viwanja vya hovyo vya ndege, kujenga Dodoma pasi na sababu, kunyima wafanyakazi haki ya msingi ya nyongeza ya mshahara na kuharibu kipato cha familia, kufukuzisha watu kazi hovyo, kuharibu mfumo wa mafao kwa wastaafu na sekta binafsi, kuharibu sekta binafsi, kuharibu mfumo wa siasa wa nchi na mwisho kufa kifo cha kizembe kwaajili ya ujuaji wa kijinga tu. Bye Magufuli.
Umeandika utumbo utumbo sijui ndo njaa imehamia kwenye ubongo baada ya kusota kitaa bila ajira?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkakati ni serikali kuinvest kwenye kilimo, tuna arable land kubwa tu,,, ambayo if put into full use italeta matokeo positive…
 
Back
Top Bottom