FAO LA KUJITOA, FAO LA KUJITOA, FAO LA KUJITOA, Hili fao lingesaidia sana vijana kupata mitaji ya kujiajiri na kuja kuajiri wengine na wengine na serikali ingeongeza walipa Kodi na mifuko ya hifadhi ingeongeza wanachama, unamkuta kijana yupo kijiweni Hana chakufanya huko kwenye mfuko wa hifadhi anapesa kama angepewa angeweza jikomboa na kukomboa wengine Tena akiwa na nguvu, hili fao lingerudishwa hata kwa asilimia Fulani au Kwa vigezo Fulani mfano kijana kuwa na mchanganuo wa kile anachotaka kwenda kufanya.