Kuna brother huku mtaani tangu mwaka 2002 nasikiaga ni mchimba Madini ila hajatoboa kachoka mbaya

Kuna brother huku mtaani tangu mwaka 2002 nasikiaga ni mchimba Madini ila hajatoboa kachoka mbaya

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
Hii inakuaje wazee Kuna broo huku mtaani kwetu Kila mwaka anasafiri kwenda mikoa mbali mbali kuchimba madini tangia mwaka 2002 ndio kazi yake hiyo cha ajabu hakuna alichofanya hata kiwanja Cha hatua 10x10 hana.

Anaishi kwenye upangaji Kila siku kelele na mwenye nyumba Kodi kulipa ni Kwa mbinde bili za umeme na maji anasumbua pia kulipa Kwa shida cha ajabu Kila akirudi kijiweni stori za migodini yaani anazijua a-z yaani kama ameshatoboa.

Mimi namsikilizaga anavyodanganya madogo namuonaga kama Hana akili timamu hivi hii inakuaje wazee umri wake Sasa ni miaka 45 aisee ila familia hata ya mtoto mmoja hana Wala Mali hana yeye ni sigara na pombe sijui uzee wake utakuaje mtu wa dizaini hii
 
madini ni betting na hivi hii sekta ya madini wengi wanaamini uganga yani mtu yupo radhi kumpa mganga milioni 10 atambue kama madini yapo kuliko kumpa hiyo pesa mtaalamu wa jiologia.
 
madini ni betting na hivi hii sekta ya madini wengi wanaamini uganga yani mtu yupo radhi kumpa mganga milioni 10 atambue kama madini yapo kuliko kumpa hiyo pesa mtaalamu wa jiologia.
Madini ni uganga kwa waswahili weupe wao utoboa tu bila mganga
 
Hii inakuaje wazee Kuna broo huku mtaani kwetu Kila mwaka anasafiri kwenda mikoa mbali mbali kuchimba madini tangia mwaka 2002 ndio kazi yake hiyo cha ajabu hakuna alichofanya hata kiwanja Cha hatua 10x10 hana anaishi kwenye upangaji cha ajabu Kila akirudi kijiweni stori za migodini yaani anazijua a-z yaani kama ameshatoboa Mimi namuonaga kama Hana akili timamu hivi hii inakuaje wazee umri wake Sasa ni miaka 45 aisee ila familia hata ya mtoto mmoja hana Wala Mali hana yeye ni sigara na pombe sijui uzee wake utakuaje mtu wa dizaini hii
Sijaona ukisema ulimpa chakula au sehemu ya kuishi.
Kafanikiwa huyo, au labda wewe ulitaka iweje.
 
madini ni betting na hivi hii sekta ya madini wengi wanaamini uganga yani mtu yupo radhi kumpa mganga milioni 10 atambue kama madini yapo kuliko kumpa hiyo pesa mtaalamu wa jiologia.
Duuuh
 
Back
Top Bottom