Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
- Thread starter
- #21
Aache kudanganya madogoSijaona ukisema ulimpa chakula au sehemu ya kuishi.
Kafanikiwa huyo, au labda wewe ulitaka iweje.
Aache kudanganya madogoSijaona ukisema ulimpa chakula au sehemu ya kuishi.
Kafanikiwa huyo, au labda wewe ulitaka iweje.
Wanadanganya sana madogolakini si kakuambia kweli sadari😀😂 ukishatoka mgodi unakuja mtaan kutupga kamba za kutosha 😀
Duuuh aiseeUnamshangaa sio? Huo ni upande ungine wa maisha.
Sio kila anaetafuta anapata.
With God grace atatoboa oneday
Aisee mbona hatariAsilimia kubwa wanaofanikiwa kwenye madini ni wale wanaonunua na kuyauza ila kwa wachimbaji ni ngumu sana kutoboa.
Na uchimbaji unakua kama una ushetani fulani. Ukiaza kuacha inakuwa ngumu sana, unapoteza muda, pesa, unazeeka, ila kitu cha ajabu matumain yanakuwa makubwa sana.
kwani Alisha wahi kumuomba donee ili akale?lakini si kakuambia kweli sadari😀😂 ukishatoka mgodi unakuja mtaan kutupga kamba za kutosha 😀
Unajua tatizo kubwa, hawa watu wanakuwa na mabosi, kwahiyo bosi anakuwa anawahudumia kila kitu kwa makubaliano ya kuwa mzigo ukipatikan bosi anatoa gharama zake zote kinachobaki ndo atajua awape bei gani. Kwahiyo mnaweza kupata mzigo ila ukawa hautoshi, pesa yote akachukuwa bosi kufidia gharama zake.Aisee mbona hatari
Ila boss ,kwa nini siku moja usikae na jamaa akupe hadithi ya kwa Nini hajatoboa km unavyodhani?Hii inakuaje wazee Kuna broo huku mtaani kwetu Kila mwaka anasafiri kwenda mikoa mbali mbali kuchimba madini tangia mwaka 2002 ndio kazi yake hiyo cha ajabu hakuna alichofanya hata kiwanja Cha hatua 10x10 hana anaishi kwenye upangaji Kila siku kelele na mwenye nyumba Kodi kulipa ni Kwa mbinde bili za umeme na maji anasumbua pia kulipa Kwa shida cha ajabu Kila akirudi kijiweni stori za migodini yaani anazijua a-z yaani kama ameshatoboa Mimi namsikilizaga anavyodanganya madogo namuonaga kama Hana akili timamu hivi hii inakuaje wazee umri wake Sasa ni miaka 45 aisee ila familia hata ya mtoto mmoja hana Wala Mali hana yeye ni sigara na pombe sijui uzee wake utakuaje mtu wa dizaini hii
Umeongea boss.Na wewe soon utakuwa bro utareta mrejesho
Enzi nakua nilikuwa namdisi mshua why hana gari kali nyumba kali n.k
Ila nimekua sasa naelewa
😂😀 sadariikwani Alisha wahi kumuomba donee ili akale?
Siku akifumania madini atanunua mtaa wenu WOTE ukiwemo na wewe.Hii inakuaje wazee Kuna broo huku mtaani kwetu Kila mwaka anasafiri kwenda mikoa mbali mbali kuchimba madini tangia mwaka 2002 ndio kazi yake hiyo cha ajabu hakuna alichofanya hata kiwanja Cha hatua 10x10 hana.
Anaishi kwenye upangaji Kila siku kelele na mwenye nyumba Kodi kulipa ni Kwa mbinde bili za umeme na maji anasumbua pia kulipa Kwa shida cha ajabu Kila akirudi kijiweni stori za migodini yaani anazijua a-z yaani kama ameshatoboa.
Mimi namsikilizaga anavyodanganya madogo namuonaga kama Hana akili timamu hivi hii inakuaje wazee umri wake Sasa ni miaka 45 aisee ila familia hata ya mtoto mmoja hana Wala Mali hana yeye ni sigara na pombe sijui uzee wake utakuaje mtu wa dizaini hii
Wee dogo hijawahi kusikia KATAA NDOA? Unaishi dunia gani? Watu hawataki kero.Hii inakuaje wazee Kuna broo huku mtaani kwetu Kila mwaka anasafiri kwenda mikoa mbali mbali kuchimba madini tangia mwaka 2002 ndio kazi yake hiyo cha ajabu hakuna alichofanya hata kiwanja Cha hatua 10x10 hana.
Anaishi kwenye upangaji Kila siku kelele na mwenye nyumba Kodi kulipa ni Kwa mbinde bili za umeme na maji anasumbua pia kulipa Kwa shida cha ajabu Kila akirudi kijiweni stori za migodini yaani anazijua a-z yaani kama ameshatoboa.
Mimi namsikilizaga anavyodanganya madogo namuonaga kama Hana akili timamu hivi hii inakuaje wazee umri wake Sasa ni miaka 45 aisee ila familia hata ya mtoto mmoja hana Wala Mali hana yeye ni sigara na pombe sijui uzee wake utakuaje mtu wa dizaini hii
Na hii mentality ndio inayowaharibu wachimba madiniSiku akifumania madini atanunua mtaa wenu WOTE ukiwemo na wewe.
😄😄😄Na hii mentality ndio inayowaharibu wachimba madini
Kwani wafanya kazi wote wa TRA wametoboa? Wengine si wanafanya kazi ya kufagia compound ya jengo? Pale ofisi ya bunge wapo wafanyakazi wanaaga nyumbani wanafanya kazi ofisi za bunge ila wana maisha magumu balaa.Hii inakuaje wazee Kuna broo huku mtaani kwetu Kila mwaka anasafiri kwenda mikoa mbali mbali kuchimba madini tangia mwaka 2002 ndio kazi yake hiyo cha ajabu hakuna alichofanya hata kiwanja Cha hatua 10x10 hana.
Anaishi kwenye upangaji Kila siku kelele na mwenye nyumba Kodi kulipa ni Kwa mbinde bili za umeme na maji anasumbua pia kulipa Kwa shida cha ajabu Kila akirudi kijiweni stori za migodini yaani anazijua a-z yaani kama ameshatoboa.
Mimi namsikilizaga anavyodanganya madogo namuonaga kama Hana akili timamu hivi hii inakuaje wazee umri wake Sasa ni miaka 45 aisee ila familia hata ya mtoto mmoja hana Wala Mali hana yeye ni sigara na pombe sijui uzee wake utakuaje mtu wa dizaini hii
Uko sahihi mkuu..Asilimia kubwa wanaofanikiwa kwenye madini ni wale wanaonunua na kuyauza ila kwa wachimbaji ni ngumu sana kutoboa.
Na uchimbaji unakua kama una ushetani fulani. Ukiaza kuacha inakuwa ngumu sana, unapoteza muda, pesa, unazeeka, ila kitu cha ajabu matumain yanakuwa makubwa sana.