Msemajiwao
JF-Expert Member
- Sep 12, 2016
- 679
- 1,692
Mnamo mwishoni mwa mwaka 2024;
Kijana mmoja timu mwamba, aliitwa ili kupewa maelekezo ya kuratibu harakati za mwamba ili abakie kwenye kiti.
Kijana huyo anayejiita mwandishi nguli alipokea asali hiyo kupitia kwa mtoto wa mwamba.
Moja ya matumizi ya kwanza kabisa ya asali ile kijana huyo alinunua alphadi na kusafili hadi kwao iringa kutambika kwa ajili ya maandalizi ya kugombea ubunge kigamboni kama alivyo ahidiwa na Mwamba!
Akijidai anakohoa tutamwaga Ushahidi wa Asali aliyopokea kupitia kwenye akaunti ........