Msemajiwao
JF-Expert Member
- Sep 12, 2016
- 679
- 1,692
- Thread starter
- #21
A.k.A mzee wa ofaZikomo awards.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
A.k.A mzee wa ofaZikomo awards.
Kama haikufa hadi 2020 basi endelea kuotaChadema inajifia kwa aibu sana
Daah watu mna maneno aiseeKama vile mvua isivyohitajika wakati wa mavuno, kadhalika heshima kwa mpumbavu!!
Pamoja na ushahidi ulionao unaogopa kumtaja kwa jina. Sababu unazijua za aidha ni muongo kama Lissu au unamuogopa Mbowe.Mnamo mwishoni mwa mwaka 2024;
Kijana mmoja timu mwamba, aliitwa ili kupewa maelekezo ya kuratibu harakati za mwamba ili abakie kwenye kiti.
Kijana huyo anayejiita mwandishi nguli alipokea asali hiyo kupitia kwa mtoto wa mwamba.
Moja ya matumizi ya kwanza kabisa ya asali ile kijana huyo alinunua alphadi na kusafili hadi kwao iringa kutambika kwa ajili ya maandalizi ya kugombea ubunge kigamboni kama alivyo ahidiwa na Mwamba!
Akijidai anakohoa tutamwaga Ushahidi wa Asali aliyopokea kupitia kwenye akaunti ........
Ujasusi wa Yericko Nyerere uliisha siku aliyo tabiri mradi wa JNHP (Stiegler's Gorge) hautakamilika sababu majasusi wa EU hasa Germany watakwamisha.Yericko ni jasusi mkubwa. Hawezi pokea hela za moto kwa simu.
Nmemiss exclusive news zako NifahYericko naye ni wa kumwandika kwa code Mkuu?
Hastahili hiyo ‘heshima’
Hamna kitu paleUjasusi wa Yericko Nyerere uliisha siku aliyo tabiri mradi wa JNHP (Stiegler's Gorge) hautakamilika sababu majasusi wa EU hasa Germany watakwamisha.
HahaahMbowe ni Alfa na Omega --- Yeriko et al. 2025
Usijali homegirl, zitakuja tu.Nmemiss exclusive news zako Nifah
Mnamo mwishoni mwa mwaka [emoji[emoji638][emoji639][emoji[emoji6[emoji640][emoji638]][emoji640][emoji6[emoji640][emoji637]]][emoji[emoji638][emoji639][emoji[emoji6[emoji640][emoji638]][emoji640][emoji640]][emoji[emoji6[emoji640][emoji638]][emoji640][emoji640]]]][emoji[emoji638][emoji639][emoji[emoji6[emoji640][emoji638]][emoji640][emoji640]][emoji[emoji6[emoji640][emoji638]][emoji640][emoji640]]][emoji[emoji638][emoji639][emoji[emoji6[emoji640][emoji638]][emoji640][emoji6[emoji640][emoji637]]][emoji[emoji638][emoji639][emoji[emoji6[emoji640][emoji638]][emoji640][emoji640]][emoji[emoji6[emoji640][emoji638]][emoji640][emoji640]]]][emoji[emoji[emoji638][emoji639][emoji[emoji6[emoji640][emoji638]][emoji640][emoji6[emoji640][emoji637]]][emoji[emoji638][emoji639][emoji[emoji6[emoji640][emoji638]][emoji640][emoji640]][emoji[emoji6[emoji640][emoji638]][emoji640][emoji640]]]][emoji[emoji[emoji638][emoji639][emoji[emoji6[emoji640][emoji638]][emoji640][emoji6[emoji640][emoji637]]][emoji[emoji638][emoji639][emoji[emoji6[emoji640][emoji638]][emoji640][emoji640]][emoji[emoji6[emoji640][emoji638]][emoji640][emoji640]]]][emoji639][emoji[emoji6[emoji640][emoji638]][emoji640][emoji6[emoji640][emoji637]]][emoji[emoji638][emoji639][emoji[emoji6[emoji640][emoji638]][emoji640][emoji640]][emoji[emoji6[emoji640][emoji638]][emoji640][emoji6[emoji640][emoji637]]]]][emoji[emoji6[emoji640][emoji638]][emoji640][emoji6[emoji640][emoji637]]][emoji[emoji638][emoji639][emoji[emoji6[emoji640][emoji638]][emoji640][emoji6[emoji640][emoji637]]][emoji[emoji638][emoji639][emoji[emoji6[emoji640][emoji638]][emoji640][emoji640]][emoji[emoji6[emoji640][emoji638]][emoji640][emoji640]]]]];
Kijana mmoja timu mwamba, aliitwa ili kupewa maelekezo ya kuratibu harakati za mwamba ili abakie kwenye kiti.
Kijana huyo anayejiita mwandishi nguli alipokea asali hiyo kupitia kwa mtoto wa mwamba.
Moja ya matumizi ya kwanza kabisa ya asali ile kijana huyo alinunua alphadi na kusafili hadi kwao iringa kutambika kwa ajili ya maandalizi ya kugombea ubunge kigamboni kama alivyo ahidiwa na Mwamba!
Akijidai anakohoa tutamwaga Ushahidi wa Asali aliyopokea kupitia kwenye akaunti ........
Unataka tuitaje benk yake hapa huoni tutawaharibia biashara ya bankKama unazo data za rushwa kwanini usiziweke wazi watu wawajue vyema wanaotaka kuwaongoza,ili wasifanye makosa kwenye box la kura.Wewe unasubiri hadi mtuhumiwa aseme neno ndio uanike uovu?Asiposema ?
Kama unauhakika wa uyasemayo ni kwanini uandike kwa mafumbo?Huoni kuficha kwako uovu kutasababisha watu waovu wachaguliwe?
Watu kama wewe ni yawezekana wazushi ama ni wale ambao yeye na mtuhumiwa wote ni waovu,ila wanaliana timing za “ukisema uovu wangu nami nasema uovu wako,usiposema uovu wangu nami sisemi uovu wako.Ila hakuna msafi kati ya anayetuhumu na anaye tuhumiwa.
moshi? Sema kunawaka motoHuko Chadema kunafuka moshi
jasusi gani anajulikana wazi? Jasusi ni invisibleYericko ni jasusi mkubwa. Hawezi pokea hela za moto kwa simu.
Jasu jasujasusi gani anajulikana wazi? Jasusi ni invisible