Msemajiwao
JF-Expert Member
- Sep 12, 2016
- 679
- 1,692
Mafuta na maji sasa tuyaonaChadema inajifia kwa aibu sana
Yericko naye ni wa kumwandika kwa code Mkuu?Mnamo mwishoni mwa mwaka 2024;
Kijana mmoja timu mwamba, aliitwa ili kupewa maelekezo ya kuratibu harakati za mwamba ili abakie kwenye kiti.
Kijana huyo anayejiita mwandishi nguli alipokea asali hiyo kupitia kwa mtoto wa mwamba.
Moja ya matumizi ya kwanza kabisa ya asali ile kijana huyo alinunua alphadi na kusafili hadi kwao iringa kutambika kwa ajili ya maandalizi ya kugombea ubunge kigamboni kama alivyo ahidiwa na Mwamba!
Akijidai anakohoa tutamwaga Ushahidi wa Asali aliyopokea kupitia kwenye akaunti ........
Huko Chadema kunafuka moshiMnamo mwishoni mwa mwaka 2024;
Kijana mmoja timu mwamba, aliitwa ili kupewa maelekezo ya kuratibu harakati za mwamba ili abakie kwenye kiti.
Kijana huyo anayejiita mwandishi nguli alipokea asali hiyo kupitia kwa mtoto wa mwamba.
Moja ya matumizi ya kwanza kabisa ya asali ile kijana huyo alinunua alphadi na kusafili hadi kwao iringa kutambika kwa ajili ya maandalizi ya kugombea ubunge kigamboni kama alivyo ahidiwa na Mwamba!
Akijidai anakohoa tutamwaga Ushahidi wa Asali aliyopokea kupitia kwenye akaunti ........
yericko awe jasusi hii nchi haiishi vituko, labda jasusi kwa kukopi maandiko ya watuYericko ni jasusi mkubwa. Hawezi pokea hela za moto kwa simu.
Kama vile mvua isivyohitajika wakati wa mavuno, kadhalika heshima kwa mpumbavu!!Yericko naye ni wa kumwandika kwa code Mkuu?
Hastahili hiyo ‘heshima’
Hivi kumbe hanaga hata kagari?Mnamo mwishoni mwa mwaka 2024;
Kijana mmoja timu mwamba, aliitwa ili kupewa maelekezo ya kuratibu harakati za mwamba ili abakie kwenye kiti.
Kijana huyo anayejiita mwandishi nguli alipokea asali hiyo kupitia kwa mtoto wa mwamba.
Moja ya matumizi ya kwanza kabisa ya asali ile kijana huyo alinunua alphadi na kusafili hadi kwao iringa kutambika kwa ajili ya maandalizi ya kugombea ubunge kigamboni kama alivyo ahidiwa na Mwamba!
Akijidai anakohoa tutamwaga Ushahidi wa Asali aliyopokea kupitia kwenye akaunti ........
Yule jamaa usimchukulie poa. Ni intelligence na security analyst mkubwa sana, anapokea za moto kupitia intelligence cables😀yericko awe jasusi hii nchi haiishi vituko, labda jasusi kwa kukopi maandiko ya watu