Kuna chawa mmoja wa mwamba aliyepewa mgao wa asali alinunua alphadi pamoja na ahadi aliyopewa ya kugombea ubunge kigamboni

Pamoja na ushahidi ulionao unaogopa kumtaja kwa jina. Sababu unazijua za aidha ni muongo kama Lissu au unamuogopa Mbowe.
 

Kama unazo data za rushwa kwanini usiziweke wazi watu wawajue vyema wanaotaka kuwaongoza,ili wasifanye makosa kwenye box la kura.Wewe unasubiri hadi mtuhumiwa aseme neno ndio uanike uovu?Asiposema ?

Kama unauhakika wa uyasemayo ni kwanini uandike kwa mafumbo?Huoni kuficha kwako uovu kutasababisha watu waovu wachaguliwe?


Watu kama wewe ni yawezekana wazushi ama ni wale ambao yeye na mtuhumiwa wote ni waovu,ila wanaliana timing za “ukisema uovu wangu nami nasema uovu wako,usiposema uovu wangu nami sisemi uovu wako.Ila hakuna msafi kati ya anayetuhumu na anaye tuhumiwa.
 
Unataka tuitaje benk yake hapa huoni tutawaharibia biashara ya bank
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…