cumbamalema
JF-Expert Member
- Sep 4, 2024
- 366
- 820
Kuna chuki naanza kuiona inapandikizwa ndani ya Tanzania, kitu ambacho siyo kizuri kwa mstakabali wa nchi yetu, kilichotokea Mbeya ni mfano mdogo tu wa kundi la watu wengi wanaoamuliwa cha kufanya au kufuata kikundi cha watu wachache, huwezi kumlazimisha binadamu apende asichokitaka, hata ukipita Mitaani ukajaribu kuongea na watu utaiona hiyo chuki ya waziwazi kabisa.
Na hii yote imesababishwa na kupotea kwa watu na Serikali kushindwa kuwapa wananchi majibu ya kujitosheleza wamekuwa na hasira sana na kujiona wao kama ni kundi la watu wa kupuuzwa
Tumuombe Mungu tusifike huko kwani tunakoelekea ni kubaya
Haukufafanua mkuu. Ila kwa kinachoendelea kuna hatari ya kuongeza chuki naogopa kusiwe na visasi siku za usoni.Kuna chuki naanza kuiona inapandikizwa ndani ya Tanzania, kitu ambacho siyo kizuri kwa mstakabali wa nchi yetu, kilichotokea Mbeya ni mfano mdogo tu wa kundi la watu wengi wanaoamuliwa cha kufanya au kufuata kikundi cha watu wachache, huwezi kumlazimisha binadamu apende asichokitaka, hata ukipita Mitaani ukajaribu kuongea na watu utaiona hiyo chuki ya waziwazi kabisa.
Na hii yote imesababishwa na kupotea kwa watu na Serikali kushindwa kuwapa wananchi majibu ya kujitosheleza wamekuwa na hasira sana na kujiona wao kama ni kundi la watu wa kupuuzwa
Tumuombe Mungu tusifike huko kwani tunakoelekea ni kubaya
Umeishia darasa la tatu?Kuna chuki naanza kuiona inapandikizwa ndani ya Tanzania, kitu ambacho siyo kizuri kwa mstakabali wa nchi yetu, kilichotokea Mbeya ni mfano mdogo tu wa kundi la watu wengi wanaoamuliwa cha kufanya au kufuata kikundi cha watu wachache, huwezi kumlazimisha binadamu apende asichokitaka, hata ukipita Mitaani ukajaribu kuongea na watu utaiona hiyo chuki ya waziwazi kabisa.
Na hii yote imesababishwa na kupotea kwa watu na Serikali kushindwa kuwapa wananchi majibu ya kujitosheleza wamekuwa na hasira sana na kujiona wao kama ni kundi la watu wa kupuuzwa
Tumuombe Mungu tusifike huko kwani tunakoelekea ni kubaya
Mbaya sana hiiKuna chuki naanza kuiona inapandikizwa ndani ya Tanzania, kitu ambacho siyo kizuri kwa mstakabali wa nchi yetu, kilichotokea Mbeya ni mfano mdogo tu wa kundi la watu wengi wanaoamuliwa cha kufanya au kufuata na kikundi cha watu wachache, huwezi kumlazimisha binadamu apende asichokitaka, hata ukipita Mitaani ukajaribu kuongea na watu utaiona hiyo chuki ya waziwazi kabisa.
Na hii yote imesababishwa na kupotea kwa watu na Serikali kushindwa kuwapa wananchi majibu ya kujitosheleza wamekuwa na hasira sana na kujiona wao kama ni kundi la watu wa kupuuzwa
Tumuombe Mungu tusifike huko kwani tunakoelekea ni kubaya
Yaani tunakokwenda siyo kuzuri kabisa,nashukhuru Magufuri aliweza kucheza na akili za watu wanyonge ambalo ndiyo kundi kubwa kabisa akaweza kufanya chochote kama RaisHaukufafanua mkuu. Ila kwa kinachoendelea kuna hatari ya kuongeza chuki naogopa kusiwe na visasi siku za usoni.
Katika kuhubiri Amani hakuitaji umeishia darasa la ngapi? Kumbuka hao wenye elimu ndiyo wanaoharibu amani ya inchiUmeishia darasa la tatu?
Jibu swali, maana inawezekana tatizo lako ikawa ni ukosefu wa maarifa na akiliKatika kuhubiri Amani hakuitaji umeishia darasa la ngapi? Kumbuka hao wenye elimu ndiyo wanaoharibu amani ya inchi
Kabisa💯Hii mbegu iliyopandwa na CCM na Serikali yake ikianza kuzaa matunda wahanga wakubwa watakuwa wanaCCM wenyewe.
Kwa hiyo wewe mwenye akili hujui kinachoendeleaJibu swali, maana inawezekana tatizo lako ikawa ni ukosefu wa maarifa na akili
Kinachoendelea kipi?Kwa hiyo wewe mwenye akili hujui kinachoendelea
Ukimpuuza huyo jamaa utakuwa umefanya jambo jema sana!Kwa hiyo wewe mwenye akili hujui kinachoendelea