cumbamalema
JF-Expert Member
- Sep 4, 2024
- 366
- 820
Kuna chuki naanza kuiona inapandikizwa ndani ya Tanzania, kitu ambacho siyo kizuri kwa mstakabali wa nchi yetu, kilichotokea Mbeya ni mfano mdogo tu wa kundi la watu wengi wanaoamuliwa cha kufanya au kufuata na kikundi cha watu wachache, huwezi kumlazimisha binadamu apende asichokitaka, hata ukipita Mitaani ukajaribu kuongea na watu utaiona hiyo chuki ya waziwazi kabisa.
Na hii yote imesababishwa na kupotea kwa watu na Serikali kushindwa kuwapa wananchi majibu ya kujitosheleza wamekuwa na hasira sana na kujiona wao kama ni kundi la watu wa kupuuzwa
Tumuombe Mungu tusifike huko kwani tunakoelekea ni kubaya