switch Off
Member
- Oct 30, 2019
- 48
- 186
ndo kitu pekee ambacho wabongo tunaweza fanya kwa ufasaha.daaa yani wabongo tupo speed kwenye mambo ya ajabu.! hv hy ishu imetokea lini mana me hy video nmeiona ht saa 1 haijapita.?
Balaa mkuu acha kabisaa.daaa yani wabongo tupo speed kwenye mambo ya ajabu.! hv hy ishu imetokea lini mana me hy video nmeiona ht saa 1 haijapita.?
Pale alitakiwa aamshwe kwa viboko.Huyu hana hela ukiwa na hela kuachwa utakusikia kama historia.
GOD is GOOD