Kuna clip inamuonesha jamaa anagalagala chini huku akilalamika kuachwa na Hamida

Kuna clip inamuonesha jamaa anagalagala chini huku akilalamika kuachwa na Hamida

switch Off

Member
Joined
Oct 30, 2019
Posts
48
Reaction score
186
Kuna clip inamuonesha jamaa anagalagala chini huku akilalaamika kuachwa na hamida ...

Huyo jamaa tunamtafuta ,kwa yeyote anaemjua huyo jamaa au mwenye mawasiliano nae tunaomba pls..

NB Hatumtafuti kwa ubaya
Mimi ninafanya kazi kwenye media X
Lengo la kumtafuta ni kufanya nae Interview...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
4F25C905-F6B1-4554-99C1-F9B8836BFBCB.jpeg
2081A68B-4096-497A-90AB-1ECC0A6A333D.jpeg
 
daaa yani wabongo tupo speed kwenye mambo ya ajabu.! hv hy ishu imetokea lini mana me hy video nmeiona ht saa 1 haijapita.?
 
daaa yani wabongo tupo speed kwenye mambo ya ajabu.! hv hy ishu imetokea lini mana me hy video nmeiona ht saa 1 haijapita.?
Balaa mkuu acha kabisaa.
Mwenyewe nimeiona jion hii sasa nashangaa watu wanavyo trend nayo matukio like ni ishu ya maana
 
Huyu hana hela ukiwa na hela kuachwa utakusikia kama historia.

GOD is GOOD
Pale alitakiwa aamshwe kwa viboko.

Hiyo nguvu ya kujigalauza chini kwenye sakafu kama kambale jike angezitumia kubeba matofali angepata pesa ya kumnunulia huyo Hamida japo shumizi na mafuta ya nazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom