Hii ya pili wameigiza hamna lolote. Huyo dada anayegalagala chini anaweka kanga vizuri. Yule mwamba wa Hamida anaonrkana kapatikana kweli. View attachment 1333583
Sent using Jamii Forums mobile app
Uhuru wa habari [emoji1][emoji1][emoji1]Unajiita Hamida? Whaat a loss,kweli wanaume wanazidi kupungua aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa inabidi kiitishwe kikao cha dharura tu mwenyekiti maana haiwezekani baharia mwenzetu yule. View attachment 1333585
Noma sana!khatari sana sheikh! mtu anajigeuzageuza kama nyoka! kweli Hamida ni nyoko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kwenye ile verse, Mpiana alimkubali sana Amida;