Kuna clip inamuonesha jamaa anagalagala chini huku akilalamika kuachwa na Hamida

Kuna clip inamuonesha jamaa anagalagala chini huku akilalamika kuachwa na Hamida

Hamida
Screenshot_20200124-024557.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha hivi kuna watu bado wapo serious na Mademu??

Hawa wanawake nikua nao bila kuwekeza sana alafu ukishaona anafaa kuolewa, OA.
Jizi nmekatisha mahusiano na mdada mmja hivi...sababu nmeona simpendi
Yaan najikuta nakua mbali na mapenzi....aliniumiza sana mtoto yule

kelphin kepph
 
Karibu mteja, tunasajili line ya Tigo 4G, Airtel 4G, Vod 4G, TTCL 4G, Airtel ya Chuo, Halotel ya Chuo, Zantel, tunasajili kwa alama za vidole, kurudisha namba zilizopotea, special number nk
 
Back
Top Bottom