Kuna clip inamuonesha jamaa anagalagala chini huku akilalamika kuachwa na Hamida

Kuna clip inamuonesha jamaa anagalagala chini huku akilalamika kuachwa na Hamida

Hamida Hamida Hamida ✍😅😄😃😂😁🤣😋😍😊🤩 Ameniacha Hamida
 
.
Salaam,
Nilikua offline kidogo kwenye IG, Jana naingia naona post zinatrend kuhusu hamida,mara sijui mkombozi wa wanawake mara sijui kuna kikao cha wanawake wakutane na hamida, naona hadi wolper katoa clip anamuongelea hamida. Who the f is she? Na ana mishe gani hapa mjini? Naomba kujuzwa

Sent using Jamii Forums mobile app


Jr[emoji769]
 
Hamida itakuwa ana kitu special between mana baharia kageuka kambare gafla mwenzake mabeste kaporwa mke na rafiki take kahuzunika kajikondea maisha yameendelea Hamida una mini wewe hati ya nani sitaki kabisa uwe jaribu na shori wangu usije ukasababisha yakanikuta ya mwana
 
Ni msicha mmoja ,ambaye amemfanya mwanaume akadhalilika mitandaoni😅😅😅😅
 
Hamida kamuacha jamaa, jamaa analia anagalagala chini
Sasa kama huyo Hamida akichukuliwa na bishoo mwenzake wa mtaa mmoja wazazi wa huyo jamaa wajiandae kumpeleka milembe
 
Huyu jamaa kajitahidi kwa kuishia kugalagala. Najaribu kukumbuka jina la msanii m1 wa bongo movie aliyekataliwa tu akanywa simu.
 
Back
Top Bottom