mzushi flani
JF-Expert Member
- Jan 20, 2020
- 1,627
- 2,473
mkuu huyo kuna uzi huko anaaminisha watu ni Me sasa hapo sielewi au ndo mtakua mbatumia tundu mbadala!?.Unaitwa Nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu huyo kuna uzi huko anaaminisha watu ni Me sasa hapo sielewi au ndo mtakua mbatumia tundu mbadala!?.Unaitwa Nani?
HamidaUnaitwa Nani?
Wap nimeaminisha watu kuwa mimi ni dume?🤒 hovyoomkuu huyo kuna uzi huko anaaminisha watu ni Me sasa hapo sielewi au ndo mtakua mbatumia tundu mbadala!?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamida kashakuwa famous
Mwanamke hata kama hujamuoa ili mladi unamtafuna kua nae Makin muda wowote anaweza kua kama HamidaNajiuliza mshikaji alipewa nini mpaka akawa na ujasiri wa kuvua nguo na kulala kwenye sakafu yenye maji akimlilia Hamida
Ni mapenzi hayahaya au kuna kingine,
Kila siku kuna vitu vinasababisha nisahau kuhusu kuoaView attachment 1332518View attachment 1332519
Sent using Jamii Forums mobile app
Swahiba Mi ntahudhuria kwa kweli nipate kujua mbinu alizozitumia Hamida mpaka kumfanya jamaa agare gare kiasi hicho. 😀😀😀
Mmmmh!! Ninaowafahamu mimi mbona hawafit kwa hizi sifa[emoji134][emoji134][emoji134]Ni ukweli mkuu. Halafu sio Malaya wala mashangingi. Wadada wengi wenye majina hayo wanakuwaga kizazi Sana. And most of the time , Samyra is the best of all
Nafikiri inawahusu wanaume wa dar. Ni kama wanamlilia hamida amewapiga chini
Ndicho kitu pekee tupo vizuri kwacho.daaa yani wabongo tupo speed kwenye mambo ya ajabu.! hv hy ishu imetokea lini mana me hy video nmeiona ht saa 1 haijapita.?
Hamida
Farida
Habiba
Samira
Haya majina ngoja niyafanyie kazi Kama Kuna ukweli