Kuna clip inamuonesha jamaa anagalagala chini huku akilalamika kuachwa na Hamida

Kuna clip inamuonesha jamaa anagalagala chini huku akilalamika kuachwa na Hamida

Hahahaha, RDC amida alimliza na kumgagalaza JP mpiana
Screenshot_2020-01-24-00-07-04.jpeg

MTC | 101| [emoji769]
 
Hawa watu hii ndiyo chance yao ya kuwa mastar haitajirudia tena, media zinawatafuta sana sasa wakikaushia kwenye hili ndo basi tena! Hamida kuna uwezekano mkubwa akapata mashavu ya matangazo kama ana muonekano mzuri, na huyo jamaa kama anakipaji cha kuongea basi atakua best comedian ever. Kama tu watakubali interviews za media. Same to amberrutty, dokta shika, Piere liquid
 
Nina hamida wangu we acha tu siri yake ninayo mimi mwenyewe,tuwape heshima wakina hamida sio poa.
 
Moja Kati ya habari inayotrend hiv sasa ni kuhusu Hamida.Jina lake limekuwa likisikika Sana lakini me binafsi sijui huyo Hamida ni Nani? na amefanya Nini? so mwenye kujua kuhusu huyo Hamida basi atuambie
 
Angalia video hii upate kumjua na kumfahamu vema
Moja Kati ya habari inayotrend hiv sasa ni kuhusu Hamida.Jina lake limekuwa likisikika Sana lakini me binafsi sijui huyo Hamida ni Nani? na amefanya Nini? so mwenye kujua kuhusu huyo Hamida basi atuambie

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom