Kuna clip inamuonesha jamaa anagalagala chini huku akilalamika kuachwa na Hamida

Kuna clip inamuonesha jamaa anagalagala chini huku akilalamika kuachwa na Hamida

Kumekuwa na video ya huyu ndugu asiyefahamika jina akigala gala, binafsi nimempa jina la 'Mwana kambale' akionekana anamlilia Hamida kwa kumuacha ni dhahiri walikuwa ktk mahusiano ya kimapenzi.

Ijapokuwa hatumfahamu Hamida kwa sura ama huyo 'Mwana Kambale' kwa jina halisi ama hatuna maelezo ya uhakika kwamba kilichotokea ni uhalisia ama maigizo tu ila tunaamini tu vyovyote iwavyo.

Tukio hilo si la kwanza ktk ulimwengu wa matukio yanayofanana na hilo kwenye mtandao wa kijamii ila limekuwa kubwa mnoo kupita matukio mengine ya namna hiyo.

Mara kadhaa, tumeshuhudia aliyekuwa mpenzi na mzazi mwenza wa Mbunge Sugu akijirekodi video na kuzungumza maneno yanayo staajabisha, huku akilia na amewahi kukiri wazi na inafahamika sababu haswaa ni Sugu kuanza maisha mapya ya kimahusiano. Watu humchukulia serious Faiza na kumpa pole na matukio yake hayana ukubwa kama wa 'Mwana kambale' au hayachukuliwi ktk mtazamo huu wa story ya Hamida ilihali kimsingi wote ni wahanga.


Je? tofauti ni kugala gala tu kama kambale matopeni au tofauti ni mwanaume kawa mhanga wa mapenzi hivyo ni ushindi kwa wanawake?
 
Nenda nae vizuri. Akina Hamida wanakuwaga Sana mahaba na mapenzi. Halafu wengi wao huwaga ni wife materials
nn
nna wangu anaitwa hamida nmeopoa juz mzee ila kwa nliyoyaona jana nshaanza kuwasha red light
 
sijapenda kitendo cha kum record jamaa na kuweka mitandaoni, hiyo clip imenihuzunisha


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mabaharia tuwe makini tu
84265475_1759165290881500_6335263584087441408_n.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom