Kuna clip inamuonesha jamaa anagalagala chini huku akilalamika kuachwa na Hamida

Kuna clip inamuonesha jamaa anagalagala chini huku akilalamika kuachwa na Hamida

Nimemuonea huruma tu ingawa ndio stage nzuri ya kutolewa uvulana... Akikaa fresh atarudi kwenye group la "wanaume ndivyo mlivyo"

Exactly huyu ni mvulana, tena mbumbumbu
 
Kuna clip inamuonesha jamaa anagalagala chini huku akilalaamika kuachwa na hamida ...

Huyo jamaa tunamtafuta ,kwa yeyote anaemjua huyo jamaa au mwenye mawasiliano nae tunaomba pls..

NB Hatumtafuti kwa ubaya
Mimi ninafanya kazi kwenye media X
Lengo la kumtafuta ni kufanya nae Interview...
View attachment 1331928

Sent using Jamii Forums mobile app
Psychologically jamaa hayuko sawa, na ana ishara zote za kujidhuru au kudhuru mtu (hata huyo Hamida pindi akijihakikishia hana namna ya kumrudisha tena), anahitaji sana msaada wa kitabibu counselling na mental health expert...

Hicho unachotaka kukifanya kitazidi kudemoralise, not healthy at all.. hayamkuti mbwa yale matatizo.

ACHENI KUCHUKUA MASIFA KWENYE MATATIZO YA WATU.. MUWE MNAVAA VIATU VYA WENZENU...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salaam,
Nilikua offline kidogo kwenye IG, Jana naingia naona post zinatrend kuhusu hamida,mara sijui mkombozi wa wanawake mara sijui kuna kikao cha wanawake wakutane na hamida, naona hadi wolper katoa clip anamuongelea hamida. Who the f is she? Na ana mishe gani hapa mjini? Naomba kujuzwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom