Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
- Thread starter
- #21
Usiseme mi mjinga wewe ndio mjinga unayeunga hoja za kijinga zakuwala dada zenu hatutowaachia ng'o lazima tuvunje hizi mila za upotofu eti unamla dada yako au mdogo wako sawa na mama yako mzazi?Mambo yao waachie wenyewe...na ukiendelea basi wewe ndo unahusika na hio michezo maana aliwazalo mjinga ndilo litalomtokea
Shame on you all.