Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Habari!
Kuna matukio lukuki ambayo yanaweza kutumika kama mifano ya unafiki wa baadhi ya Waislamu katika kipindi cha Ramadhani.
Mimi leo nitatoa mfano mmoja tu ambao nimeushudia leo SOKO LA STEREO Temeke.
Kuna mdada anauza uji katika soko la STEREO sasa leo kapigwa marufuku kwakuwa ni msimu wa Ramadhani.
Maswali ya kujiuliza;
- Mbona Kwaresma imeanza muda tu na sasa inaendelea lakini hakuna Mtanzania aliyepewa masharti ya namna ya kuuza au kula chakula chake halali?.
- Funga ni jambo la kiimani, je, imani zenu ni haba kiasi kwamba mkiona chakula mnazitupa mbali hizo imani?