Kuna Dada anauza uji soko la Stereo, leo kapigwa marufuku kwa kuwa ni msimu wa Ramadhani

Kuna Dada anauza uji soko la Stereo, leo kapigwa marufuku kwa kuwa ni msimu wa Ramadhani

Status
Not open for further replies.
Ndio kishapigwa marufuku na hakuna cha kufanya [emoji1787]
Unalinganisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na Kwa Rezma ambayo ni Ibada ya Wakatoliki na bado Wakatoliki wenyewe hawaifati.
 
Biashara inaendeshwa kwa supply & demand.

Anti anasupply uji kwakua stereo kuna demand.

Akiona demand hakuna ataondoka.

Hiyo ni logic.

Imani ikiwekwa kwenye equation logic gets thrown outta window.
 
Uongo. Na kwarema inaishaga kwa amani..kwann nyie mlazimishe watu kufanya mnayotaka nyie?
Sii tunawaona humu mtaani bwana weye. Bora sie angalau 28 days angalau tunajicontrol
 
Sii tunawaona humu mtaani bwana weye. Bora sie angalau 28 days angalau tunajicontrol
Hakuna mwenye unafiki wa wazi wazi. Unakuta mtu yule mdangaji wa wazi wazi kuonyesha hadi matako mtandaoni..ramadhani ikifika anaacha, anajistiri na misemo ya quran inatawala.
Ikisha tu loh...balaa linaendelea tena kwa kasi zaidi.
Tunachowaomba.. mfungo wenu usiwakwaze wasio funga..hilo tu.
 
Sasa kwani unawakwazaje? Sasa wee huoni kwamba katika hicho kipindi anakuwa anatenda mema angalau na kuna uwezekano kuwa wanaweza kuacha mambo hayo.
Kuliko wee ni mwendo mmoja tuu jan to december
 
Sasa kwani unawakwazaje? Sasa wee huoni kwamba katika hicho kipindi anakuwa anatenda mema angalau na kuna uwezekano kuwa wanaweza kuacha mambo hayo.
Kuliko wee ni mwendo mmoja tuu jan to december
Hayo ya unafiki hayanikwazi sana, mtu atajua na mungu wake. Kinachonikwaza ni ile kukataza watu kula mbele yenu au kuuza chakula...
Kufunga ufunge wewe unamkatazaje mwingine asile au asifanye biashara ya chakula.
Hii kwako ni sahihi?
 
Mwezi ukipita madhambi kama yote. Hii dini mi naipenda sana..nipo mbioni kuhamia huko
Ni wanafiki sana,wanafunga tu kwa sababu inawalazimu kufanya hivyo,lakini sio kwa kufuata ile misingi hasa ya funga..
 
Habari!
Kuna matukio lukuki ambayo yanaweza kutumika kama mifano ya unafiki wa baadhi ya Waislamu katika kipindi cha Ramadhani.
Mimi leo nitatoa mfano mmoja tu ambao nimeushudia leo SOKO LA STEREO Temeke.
Kuna mdada anauza uji katika soko la STEREO sasa leo kapigwa marufuku kwakuwa ni msimu wa Ramadhani.
Maswali ya kujiuliza;
  • Mbona Kwaresma imeanza muda tu na sasa inaendelea lakini hakuna Mtanzania aliyepewa masharti ya namna ya kuuza au kula chakula chake halali?.
  • Funga ni jambo la kiimani, je, imani zenu ni haba kiasi kwamba mkiona chakula mnazitupa mbali hizo imani?
Funga ni jambo la kiimani, je, imani zenu ni haba kiasi kwamba mkiona chakula mnazitupa mbali hizo imani?[emoji848][emoji2827]
 
Ramadhan haiwezi kufanana na kwaresma hata siku 1 ni vitu tofaut kabisa
 
Tatizo hata Ramadhani inawachanganya
FB_IMG_1648847952422.jpg
 
Huo ni utopolo mbona mbususu tutakula sana watakuja hata guest houses mi natumia Rahim Juma kujiandikisha Guest
 
Hayo ya unafiki hayanikwazi sana, mtu atajua na mungu wake. Kinachonikwaza ni ile kukataza watu kula mbele yenu au kuuza chakula...
Kufunga ufunge wewe unamkatazaje mwingine asile au asifanye biashara ya chakula.
Hii kwako ni sahihi?
Hiyo sio sahihi kabisa. Hilo sikubaliani nalo
 
Habari!
Kuna matukio lukuki ambayo yanaweza kutumika kama mifano ya unafiki wa baadhi ya Waislamu katika kipindi cha Ramadhani.
Mimi leo nitatoa mfano mmoja tu ambao nimeushudia leo SOKO LA STEREO Temeke.

Kuna mdada anauza uji katika soko la STEREO sasa leo kapigwa marufuku kwakuwa ni msimu wa Ramadhani.

Maswali ya kujiuliza;
- Mbona Kwaresma imeanza muda tu na sasa inaendelea lakini hakuna Mtanzania aliyepewa masharti ya namna ya kuuza au kula chakula chake halali?.

- Funga ni jambo la kiimani, je, imani zenu ni haba kiasi kwamba mkiona chakula mnazitupa mbali hizo imani?

Mbona hata ramadhani yenyewe haijaanza?
Au alikua anapita kuwashawishi wanaotaka kufunga wasifunge?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom