Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inshu munavamia miji ya watuHuu upuuzi ufike mwisho, kama wewe umefunga si uache ambao hawajafunga wanywe huo uji , kwani unamfungia nani? Si ni wewe mwenyewe..
Kama unakwazika Rudi kwenuHakuna mwenye unafiki wa wazi wazi. Unakuta mtu yule mdangaji wa wazi wazi kuonyesha hadi matako mtandaoni..ramadhani ikifika anaacha, anajistiri na misemo ya quran inatawala.
Ikisha tu loh...balaa linaendelea tena kwa kasi zaidi.
Tunachowaomba.. mfungo wenu usiwakwaze wasio funga..hilo tu.
Kwa hiyo sterio ni mji wa waislamu? Tangu lini? Kuna sheria iliopitishwa kuelezea hayo? Endapo sio basi hamjui mipaka yenu.Inshu munavamia miji ya watu
Ukiona hivyo % kubwa hapo ni waislamDada wanamlazimisha asilete bidhaa ( uji) kujipatia ridhiki Kwa kuwahzia watu wengine ambao hawafungi,wakristo na wapagani.Waislamu wamemkataza kufanya biashara
Radical islamistNdio kishapigwa marufuku na hakuna cha kufanya [emoji1787]
Unalinganisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na Kwa Rezma ambayo ni Ibada ya Wakatoliki na bado Wakatoliki wenyewe hawaifati.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwambie huyo Dada aendelee kuuza uji bila shida,kwani anawanywesha kwa nguvu?
Jiheshimu....Ndio kishapigwa marufuku na hakuna cha kufanya [emoji1787]
Unalinganisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na Kwa Rezma ambayo ni Ibada ya Wakatoliki na bado Wakatoliki wenyewe hawaifati.
Hapo ni swala la tamaduni, na hizo ni tamaduni zetu watu wa pwani.Funga ni jambo la kiimani, je, imani zenu ni haba kiasi kwamba mkiona chakula mnazitupa mbali hizo imani?[emoji848][emoji2827]
TayariiiiVipi huko Zanjibar
Bado hawajapiga marufuku kula chakula mchana magengeni ?
Hii dini ingeshika dola, wote tungesilimishwa kwa lazima.
Temeke ni mji wa Saudi Arabia? Au kuna miji ya kidini hapa Tz? FafanuaInshu munavamia miji ya watu
Mkuu hizo ni tamaduni za watu wa pwani unapofika mwezi wa Ramadhan.Islamic wana complication za kijuha. Kwa sheria ipi
...Na kama huyo Dada naye kakubali basi ni Mjinga! Nchi Haina Dini. Labda naye ni Muislamu....!Habari!
Kuna matukio lukuki ambayo yanaweza kutumika kama mifano ya unafiki wa baadhi ya Waislamu katika kipindi cha Ramadhani.
Mimi leo nitatoa mfano mmoja tu ambao nimeushudia leo SOKO LA STEREO Temeke.
Kuna mdada anauza uji katika soko la STEREO sasa leo kapigwa marufuku kwakuwa ni msimu wa Ramadhani.
Maswali ya kujiuliza;
- Mbona Kwaresma imeanza muda tu na sasa inaendelea lakini hakuna Mtanzania aliyepewa masharti ya namna ya kuuza au kula chakula chake halali?.
- Funga ni jambo la kiimani, je, imani zenu ni haba kiasi kwamba mkiona chakula mnazitupa mbali hizo imani?
Hiyo ni jamii iliyotangamana. Kama kila mtu ataleta tamaduni zake itakuwaje. Tuseme kwenye familia zao wote wanafunga? Hakuna wagonjwa au watoto wanaopikiwa chakula. Tamaduni gani hizo zisizotumia akili?Mkuu hizo ni tamaduni za watu wa pwani unapofika mwezi wa Ramadhan.
Sasa kama wewe mgeni fuata tamaduni za wenyeji wako,huwezi rudi kwenu
Mwezi ukipita madhambi kama yote [emoji1787]Mwezi ukipita madhambi kama yote. Hii dini mi naipenda sana..nipo mbioni kuhamia huko