FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Sasa kwanini mnaonea wivu watu wanaokunywa uji kwa dada?Makristo bhana yana wivu kwelikweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kwanini mnaonea wivu watu wanaokunywa uji kwa dada?Makristo bhana yana wivu kwelikweli.
Uyo aliyempiga marufuku anasababu zake binafsi maana siyo wote wanao funga wengine wanaumwa vidonda vya tumbo na maradhi mengineyoHabari!
Kuna matukio lukuki ambayo yanaweza kutumika kama mifano ya unafiki wa baadhi ya Waislamu katika kipindi cha Ramadhani.
Mimi leo nitatoa mfano mmoja tu ambao nimeushudia leo SOKO LA STEREO Temeke.
Kuna mdada anauza uji katika soko la STEREO sasa leo kapigwa marufuku kwakuwa ni msimu wa Ramadhani.
Maswali ya kujiuliza;
- Mbona Kwaresma imeanza muda tu na sasa inaendelea lakini hakuna Mtanzania aliyepewa masharti ya namna ya kuuza au kula chakula chake halali?.
- Funga ni jambo la kiimani, je, imani zenu ni haba kiasi kwamba mkiona chakula mnazitupa mbali hizo imani?
Kumzuia mtu asiuze uji kwa wasiofunga wewe unaona sio kikwazo hicho?Sasa kwani unawakwazaje? Sasa wee huoni kwamba katika hicho kipindi anakuwa anatenda mema angalau na kuna uwezekano kuwa wanaweza kuacha mambo hayo.
Kuliko wee ni mwendo mmoja tuu jan to december
Pwani hakuna Wakristo?!Mkuu hizo ni tamaduni za watu wa pwani unapofika mwezi wa Ramadhan.
Sasa kama wewe mgeni fuata tamaduni za wenyeji wako,huwezi rudi kwenu
Wasio waislamu na wasiofunga wakanywe uji wapi!?Sasa kwani unawakwazaje? Sasa wee huoni kwamba katika hicho kipindi anakuwa anatenda mema angalau na kuna uwezekano kuwa wanaweza kuacha mambo hayo.
Kuliko wee ni mwendo mmoja tuu jan to december
...na Hata Fungal yenyewe haijaanza!wakristo mna mihemko kweli kweli, tukiwauliza ni nani aliye mpiga marufuku huyo dada kuuza uji sokoni mnabaki kuangaliana, haya ni nani anamjua huyo dada, wooteee kimyaaa, ebu achene hizoo, yaani mna tunga tunga visababu vya kuwaaharibia hao jamaa funga yao ili mpate nini??
Hiyo siyo sawaHabari!
Kuna matukio lukuki ambayo yanaweza kutumika kama mifano ya unafiki wa baadhi ya Waislamu katika kipindi cha Ramadhani.
Mimi leo nitatoa mfano mmoja tu ambao nimeushudia leo SOKO LA STEREO Temeke.
Kuna mdada anauza uji katika soko la STEREO sasa leo kapigwa marufuku kwakuwa ni msimu wa Ramadhani.
Maswali ya kujiuliza;
- Mbona Kwaresma imeanza muda tu na sasa inaendelea lakini hakuna Mtanzania aliyepewa masharti ya namna ya kuuza au kula chakula chake halali?.
- Funga ni jambo la kiimani, je, imani zenu ni haba kiasi kwamba mkiona chakula mnazitupa mbali hizo imani?
Wa Africa Dini zimejuwa kuwagawa kweli! Huu mvutano humu naona wafuasi wa Mohamadi na wafuasi ya Jesus mnavyochuwana! Hivi huyu Mzungu na Mwarabu wasingekuja Africa saa hizi nazani mngekua kitu kimoja kama Uumbaji wa Mungu unavyotaka,kua Binaadamu wote Wana haki sawa juu ya aridhi yake Muumba!!Ndio kishapigwa marufuku na hakuna cha kufanya [emoji1787]
Unalinganisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na Kwa Rezma ambayo ni Ibada ya Wakatoliki na bado Wakatoliki wenyewe hawaifati.
Wapo,wengi wao ni waislamPwani hakuna Wakristo?!
Wagonjwa wameamriwa wasifunge but kwa tamaduni zetu watu wa pwani hato kula hazarani (atakula kwa kujistili).Hiyo ni jamii iliyotangamana. Kama kila mtu ataleta tamaduni zake itakuwaje. Tuseme kwenye familia zao wote wanafunga? Hakuna wagonjwa au watoto wanaopikiwa chakula. Tamaduni gani hizo zisizotumia akili?
wanafunga kunywa maji mengine NI kubadilisha masaa ya kula tuMwezi ukipita madhambi kama yote [emoji1787]
Kuna Rafiki yangu mmoja anaitwa ISSA enzi hizo niko nyumba zetu zileee za kushea, alikuwa anatukaribisha misosi ya nguvu mno kipindi kama hiki.
Saa 12, ftari na uji, 2 usiku daku, 4 usiku menyu kamili, na 10 au 11 alfajiri kukazia menyu.
Sasa najiuliza hivi huku ni kufunga kweli au kubadili tu ratiba ya msosi [emoji848]
Tena si msosi wa kawaida kama siku ambazo Jamaa hafungi bali ni msosi wa nguvu haswaa [emoji16]
Si Bora hao ambao hawaifati kwa hiari yao kuliko nyie mnalazimishana.Ndio kishapigwa marufuku na hakuna cha kufanya [emoji1787]
Unalinganisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na Kwa Rezma ambayo ni Ibada ya Wakatoliki na bado Wakatoliki wenyewe hawaifati.
Kombe la dunia linafanyika arabuni mwaka huuMuarabu angeshika dunia ingekua ni moto kila nchi, pasingekalika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwezi ukipita madhambi kama yote. Hii dini mi naipenda sana..nipo mbioni kuhamia huko