Kuna Dada anauza uji soko la Stereo, leo kapigwa marufuku kwa kuwa ni msimu wa Ramadhani

Kuna Dada anauza uji soko la Stereo, leo kapigwa marufuku kwa kuwa ni msimu wa Ramadhani

Status
Not open for further replies.
wakristo mna mihemko kweli kweli, tukiwauliza ni nani aliye mpiga marufuku huyo dada kuuza uji sokoni mnabaki kuangaliana, haya ni nani anamjua huyo dada, wooteee kimyaaa, ebu achene hizoo, yaani mna tunga tunga visababu vya kuwaaharibia hao jamaa funga yao ili mpate nini??
 
yaani mtu aache kutafuta ridhiki yake kwa sababu ya imani ya mpuuzi. huyo dada ana haki kabisa kwa sababu sheria ya nchi na serikali haijavunjwa ukizingatia nchi hii ni huru na haifuati misingi yq dini yoyote
 
Habari!
Kuna matukio lukuki ambayo yanaweza kutumika kama mifano ya unafiki wa baadhi ya Waislamu katika kipindi cha Ramadhani.
Mimi leo nitatoa mfano mmoja tu ambao nimeushudia leo SOKO LA STEREO Temeke.

Kuna mdada anauza uji katika soko la STEREO sasa leo kapigwa marufuku kwakuwa ni msimu wa Ramadhani.

Maswali ya kujiuliza;
- Mbona Kwaresma imeanza muda tu na sasa inaendelea lakini hakuna Mtanzania aliyepewa masharti ya namna ya kuuza au kula chakula chake halali?.

- Funga ni jambo la kiimani, je, imani zenu ni haba kiasi kwamba mkiona chakula mnazitupa mbali hizo imani?
Uyo aliyempiga marufuku anasababu zake binafsi maana siyo wote wanao funga wengine wanaumwa vidonda vya tumbo na maradhi mengineyo
 
Sasa kwani unawakwazaje? Sasa wee huoni kwamba katika hicho kipindi anakuwa anatenda mema angalau na kuna uwezekano kuwa wanaweza kuacha mambo hayo.
Kuliko wee ni mwendo mmoja tuu jan to december
Kumzuia mtu asiuze uji kwa wasiofunga wewe unaona sio kikwazo hicho?
 
wakristo mna mihemko kweli kweli, tukiwauliza ni nani aliye mpiga marufuku huyo dada kuuza uji sokoni mnabaki kuangaliana, haya ni nani anamjua huyo dada, wooteee kimyaaa, ebu achene hizoo, yaani mna tunga tunga visababu vya kuwaaharibia hao jamaa funga yao ili mpate nini??
...na Hata Fungal yenyewe haijaanza!
 
Habari!
Kuna matukio lukuki ambayo yanaweza kutumika kama mifano ya unafiki wa baadhi ya Waislamu katika kipindi cha Ramadhani.
Mimi leo nitatoa mfano mmoja tu ambao nimeushudia leo SOKO LA STEREO Temeke.

Kuna mdada anauza uji katika soko la STEREO sasa leo kapigwa marufuku kwakuwa ni msimu wa Ramadhani.

Maswali ya kujiuliza;
- Mbona Kwaresma imeanza muda tu na sasa inaendelea lakini hakuna Mtanzania aliyepewa masharti ya namna ya kuuza au kula chakula chake halali?.

- Funga ni jambo la kiimani, je, imani zenu ni haba kiasi kwamba mkiona chakula mnazitupa mbali hizo imani?
Hiyo siyo sawa
 
Ndio kishapigwa marufuku na hakuna cha kufanya [emoji1787]
Unalinganisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na Kwa Rezma ambayo ni Ibada ya Wakatoliki na bado Wakatoliki wenyewe hawaifati.
Wa Africa Dini zimejuwa kuwagawa kweli! Huu mvutano humu naona wafuasi wa Mohamadi na wafuasi ya Jesus mnavyochuwana! Hivi huyu Mzungu na Mwarabu wasingekuja Africa saa hizi nazani mngekua kitu kimoja kama Uumbaji wa Mungu unavyotaka,kua Binaadamu wote Wana haki sawa juu ya aridhi yake Muumba!!
 
Baadhi yao huwa wanafunga kinafiki tu,kuna fununu za biashara fulani kudoda mfungo huu ukianza kama vile kitimoto, bia, gesti nk, lakini wanachakatana haswa wanapoenda kwenye swala za talawehe (sijui inaandikwa ivo)

Nina sms nyingi sana za dada yao na hawa kina Mwamedi anakomaa j3 tukachakatane, nilipomwambia mfungo utakuwa umeshaanza, akaniambia mfungo hauzuii yeye kuwa na hamu ya mchakatano, na hapo yeye ni mke halali wa mtu.......kuna mengi sana ya gizani wanayafanya hawa jamaa
 
Hiyo ni jamii iliyotangamana. Kama kila mtu ataleta tamaduni zake itakuwaje. Tuseme kwenye familia zao wote wanafunga? Hakuna wagonjwa au watoto wanaopikiwa chakula. Tamaduni gani hizo zisizotumia akili?
Wagonjwa wameamriwa wasifunge but kwa tamaduni zetu watu wa pwani hato kula hazarani (atakula kwa kujistili).
Zamani au kuna baazi ya maeneo mpaka leo kuna kua na Baazi ya migahawa kwa ajili ya wasafili,wagonjwa na watoto na wengineo mingine hufungwa.
 
Mwezi ukipita madhambi kama yote [emoji1787]
Kuna Rafiki yangu mmoja anaitwa ISSA enzi hizo niko nyumba zetu zileee za kushea, alikuwa anatukaribisha misosi ya nguvu mno kipindi kama hiki.

Saa 12, ftari na uji, 2 usiku daku, 4 usiku menyu kamili, na 10 au 11 alfajiri kukazia menyu.

Sasa najiuliza hivi huku ni kufunga kweli au kubadili tu ratiba ya msosi [emoji848]

Tena si msosi wa kawaida kama siku ambazo Jamaa hafungi bali ni msosi wa nguvu haswaa [emoji16]
wanafunga kunywa maji mengine NI kubadilisha masaa ya kula tu
 
Izo ndio kesi za kujipigia pesa ya buree ila ndio ivyo tu ktk miti hamna wajenzi ....

Unafungua shitaka la uharibu wa mali kisha unajiombea ulipwe fidia yako
 
Ndio kishapigwa marufuku na hakuna cha kufanya [emoji1787]
Unalinganisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na Kwa Rezma ambayo ni Ibada ya Wakatoliki na bado Wakatoliki wenyewe hawaifati.
Si Bora hao ambao hawaifati kwa hiari yao kuliko nyie mnalazimishana.
Kuna jirani yangu huwa ana tabia ya kuwaahidi Watoto wake kuwa wakifunga atawapa zawadi. Sasa unajiuliza huyo mtoto anaelewa nini zaidi ya kufunga tu ili apate zawadi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom