Kuna Dada anauza uji soko la Stereo, leo kapigwa marufuku kwa kuwa ni msimu wa Ramadhani

Kuna Dada anauza uji soko la Stereo, leo kapigwa marufuku kwa kuwa ni msimu wa Ramadhani

Status
Not open for further replies.
Si Bora hao ambao hawaifati kwa hiari yao kuliko nyie mnalazimishana.
Kuna jirani yangu huwa ana tabia ya kuwaahidi Watoto wake kuwa wakifunga atawapa zawadi. Sasa unajiuliza huyo mtoto anaelewa nini zaidi ya kufunga tu ili apate zawadi
Anazoweshwa kufunga,alikua asipate tabu ya kufunga
 
Mwezi ukipita madhambi kama yote [emoji1787]
Kuna Rafiki yangu mmoja anaitwa ISSA enzi hizo niko nyumba zetu zileee za kushea, alikuwa anatukaribisha misosi ya nguvu mno kipindi kama hiki.

Saa 12, ftari na uji, 2 usiku daku, 4 usiku menyu kamili, na 10 au 11 alfajiri kukazia menyu.

Sasa najiuliza hivi huku ni kufunga kweli au kubadili tu ratiba ya msosi [emoji848]

Tena si msosi wa kawaida kama siku ambazo Jamaa hafungi bali ni msosi wa nguvu haswaa [emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe ni kubadilisha tu ratiba. Unajippakia usiku kucha, alaf mchana unashinda njaa
 
Hakuna mwenye unafiki wa wazi wazi. Unakuta mtu yule mdangaji wa wazi wazi kuonyesha hadi matako mtandaoni..ramadhani ikifika anaacha, anajistiri na misemo ya quran inatawala.
Ikisha tu loh...balaa linaendelea tena kwa kasi zaidi.
Tunachowaomba.. mfungo wenu usiwakwaze wasio funga..hilo tu.
Ni kwa sababu huelewi ramadhani ni nini!!?...hebu fanya ramadhani haipo,huyo mdangaji angekumbuka lini kwamba yeye muislam!!?...walau ramadhani inamkumbusha uwepo wa mungu,na inamshape mtu kuwa mchamungu,akikengeuka baada ya hapo ni juu yake
 
Temeke ni mji wa Saudi Arabia? Au kuna miji ya kidini hapa Tz? Fafanua
Uwislam haupo Saudia tu,
Hakuna miji ya kidini ila kuna tamaduni za miji na Baazi ndio kama hizo. Na zilikua nyingi tu mf:
Zamani kulikua ngumu wakristo kupanga nyumba hapa Dar kutokana na tamaduni za wenyeji.
Nyerere akaamua kujenga Mission kota
 
Afadhali hata naishi kwenye mkoa wenye waislamu wachache [emoji56]
Na hili baridi mimi naanzaje kuacha kununua muhindi njiani nitembee nakula[emoji1787]
Demi
Nimecheka mnooo, muhindi upi huo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo sterio ni mji wa waislamu? Tangu lini? Kuna sheria iliopitishwa kuelezea hayo? Endapo sio basi hamjui mipaka yenu.
Wewe uliekuja leo mjini ndio unashangaa,lakini hizo ni tamaduni za watu wa pwani na zipo toka tunapata uhuru na wageni huzifuata
 
Si Bora hao ambao hawaifati kwa hiari yao kuliko nyie mnalazimishana.
Kuna jirani yangu huwa ana tabia ya kuwaahidi Watoto wake kuwa wakifunga atawapa zawadi. Sasa unajiuliza huyo mtoto anaelewa nini zaidi ya kufunga tu ili apate zawadi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanachekesha mnooo.
 
Acheni wivu nyinyi uislam hauna matabaka kwenye mfungo wote lazima wafunge unafananishaje na kwaresma.

Huyo Dada auze tuu huo uji hakuna wa kumdhuru nchi huru hii uskute wateja wake wengi waislam labda wakamwambia hivyo.
 
Habari!
Kuna matukio lukuki ambayo yanaweza kutumika kama mifano ya unafiki wa baadhi ya Waislamu katika kipindi cha Ramadhani.
Mimi leo nitatoa mfano mmoja tu ambao nimeushudia leo SOKO LA STEREO Temeke.

Kuna mdada anauza uji katika soko la STEREO sasa leo kapigwa marufuku kwakuwa ni msimu wa Ramadhani.

Maswali ya kujiuliza;
- Mbona Kwaresma imeanza muda tu na sasa inaendelea lakini hakuna Mtanzania aliyepewa masharti ya namna ya kuuza au kula chakula chake halali?.

- Funga ni jambo la kiimani, je, imani zenu ni haba kiasi kwamba mkiona chakula mnazitupa mbali hizo imani?
Je, huko stereo maduka yanayouza soda, maji, juice, vitafunwa, nk wameyafunga?
Huyo dada na wasiohusika na mfungo wameonewa!
 
Mwezi ukipita madhambi kama yote [emoji1787]
Kuna Rafiki yangu mmoja anaitwa ISSA enzi hizo niko nyumba zetu zileee za kushea, alikuwa anatukaribisha misosi ya nguvu mno kipindi kama hiki.

Saa 12, ftari na uji, 2 usiku daku, 4 usiku menyu kamili, na 10 au 11 alfajiri kukazia menyu.

Sasa najiuliza hivi huku ni kufunga kweli au kubadili tu ratiba ya msosi [emoji848]

Tena si msosi wa kawaida kama siku ambazo Jamaa hafungi bali ni msosi wa nguvu haswaa [emoji16]
Ni mabadiliko tu ya ratiba ya kula
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom