Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
😂😂😂wananishangazaga na hayo mambo yao, sasa wanataka dada wa watu akale wapi?Habari!
Kuna matukio lukuki ambayo yanaweza kutumika kama mifano ya unafiki wa baadhi ya Waislamu katika kipindi cha Ramadhani.
Mimi leo nitatoa mfano mmoja tu ambao nimeushudia leo SOKO LA STEREO Temeke.
Kuna mdada anauza uji katika soko la STEREO sasa leo kapigwa marufuku kwakuwa ni msimu wa Ramadhani.
Maswali ya kujiuliza;
- Mbona Kwaresma imeanza muda tu na sasa inaendelea lakini hakuna Mtanzania aliyepewa masharti ya namna ya kuuza au kula chakula chake halali?.
- Funga ni jambo la kiimani, je, imani zenu ni haba kiasi kwamba mkiona chakula mnazitupa mbali hizo imani?
KABISA HAWA JAMAA NA SHERIA ZAO ZA AJABU WANADHANI WAO NDO WANA HAKI KULIKO WENZAO. WAZUNGU WANAISADIA SANA DUNIA DHIDI YA WADHALIMU KAMA HAWA WANAITUMIA DINI VIBAYA.Muarabu angeshika dunia ingekua ni moto kila nchi, pasingekalika
Japo kiukweli ustaarabu wa wakristo hauna mfano...Karl Max alilizungumzia vizuri kuhusu hizi dini
Mwezi ukipita madhambi kama yote. Hii dini mi naipenda sana..nipo mbioni kuhamia hukoHalafu unakuta mtu ana demu wake wanaambiana "subiri mwezi upite kwanza",halafu eti wanafunga! Kwanza siku hzi mwezi wa ramadhani haupewi heshima inayostahili kama zamani..
Haha Pale mungu anapokupatia ratiba ya kufanya dhambi..Mwezi ukipita madhambi kama yote. Hii dini mi naipenda sana..nipo mbioni kuhamia huko
Tutake nini zaidi jamani. Mwezi mmoja wa kula vizuri na kutotenda dhambi...sishindwiii.Haha Pale mungu anapokupatia ratiba ya kufanya dhambi..
Watakuja mda si mrefu wako busy kugombana na wamama wa uji mitaani kwanza....muhimu anza kuandaa jina baadae upite na karume pale kubeba majuba ya kutosha ( mtoto wa kike ujistiri🤣🤣🤣🤣)🤣🤣🤣🤣 tuhamie huko bas...hakuna shehe hapa jf atuslimishe? Ramadhani inaanza kesho