Kuna dalili za game ya Yanga kutooneshwa kukwepa aibu

Kuna dalili za game ya Yanga kutooneshwa kukwepa aibu

Mshuza2

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
11,261
Reaction score
17,202
Sioni dalili za game ya Yanga kuoneshwa..yawezekana ikawa ni ombi lao ili kukwepa aibu ya kuona jinsi watakavyokua wakiadabishwa na pyramids.. Hata hivyo dunia kijiji link zipo na wale wa dstv kama kama kawa kama dawa..
FB_IMG_15727620286489682.jpg

Updates: Azam wameshindwa kwenda mbashara.
Nilichokua nahisi kimetimia..pamoja na matangazo Azam wameshindwa kuonesha.
 
Yanga haiwezi kuiletea Tanzania aibu kama hii walioileta mikia View attachment 1252532
Simba haikuiletea aibu Taifa ule ndo ulikua uanaume, mana mwisho wa siku simba aliibuka shujaa hadi akawabeba Yanga kwenda kucheza CAF champion.
Hata Kwenye ngumi unakuta round za kwanza unapiga lakini mwenzio anakupiga round zinazofuata KO.
 
Acha mipasho unadhani Yanga anaenda kula viganja kama mlivyozoea? Azam wako live Sports 2,Dunia saizi ni kijiji hata wasipoonyesha live streaming zipo kibao tu labda kama we ni mshamba huzijui ndiyo maana anakurupuka we mbumbumbu fc fan
 
Back
Top Bottom