kantasundwa
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 1,548
- 2,384
Wee sera ya ccm unaijua??yaaani hata sera ya upinzani hatuijui na mshajitangazia ushindi?? mnafeli wap wapinzani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee sera ya ccm unaijua??yaaani hata sera ya upinzani hatuijui na mshajitangazia ushindi?? mnafeli wap wapinzani
Mwanza yote tuMwanza ya wapi mkuu!!
Endelea kujidanganya tu mkuuUpinzani ni kweli upo lakini mbele ya Magufuli, hakuna upinzani!! Zingine ni hasira tu za Kwa nini upinzani hauwezi kushinda tena safari hii
Na Membe ameapa kurudi kimtindo kwani anasema October mbali sana lolote laweza tokea hapa katikati.Hizo 98%hata ndani ya CCM hapati ndio maana kamfukuza Membe
Wote ambao mmekuwa mkifutilia rallies za vyama vya upinzani (hapa "upinzani" strictly ninamaanisha ACT & Chadema) hapana shaka mtaafikiana nami kuwa mwamko wa wananchi ku support kambi hii ni mkubwa sana pamoja na uwepo wa vitisho kutoka vyombo vya dola. Imagine kusingekuwa na ukandamizaji huo sijui ingekuwaje.
Ni bahati mbaya sana tena sana kambi hii imeamua kuingia uchaguzini mwaka huu kabla ya kwanza kupigania Tume Huru ya Uchaguzi. Ni bahati mbaya sana kwa sababu japo watashinda kwa sehemu kubwa (>55% kwenye urais na >60% ubunge & madiwani), hawatatangazwa.
Wasijidanganye kabisa na mkakati wa eti "kulinda kura" baada ya polling. Wakifanya hivyo tutakuwa tumeamua kumkabidhi ziraili roho za akina Aquiline nyingine nyingi tu. Endapo "kulinda kura" ndiyo utakuwa msimamo, basi viongozi wa upinzani lazima watambue kuwa there'll be a huge price to pay, and dearly. Suala ni je upinzani umejipangaje ku mitigate hili tishio?
Those are only my 2 cents. Food for thought.
Usisahau kupitia video clip hii hapa chini ili uelewe context ya uzi wangu.
Mkuu nakuunga mkono kwa [emoji817]% tupige kura kwa wingi lkn eti tususe kisa hakuna Tume huru...hilo mi nalipinga...kura zangu ni chadema tu kuanzia diwani hadi raisHilo ndiyo tatizo LA chaguzi zetu,tumewapa watu wasioaminiwa na wote kuwa refarii.Tunatakiwa tufunge magoli mengi ya ushindi ili refa akileta zake tutakuwa narejea.Bila kupiga kura za kutosha tutakosa utetezi.
Kura yangu inaenda upinzani kuanzia ya diwani,ubunge na urais,wewe je?
Wapiga kura siyo wajinga wanajua maendeleo ni lazima kwani ni pesa zao za walipa kodi maendeleo siyo Hisani za CCM, wananchi wanajua palipo na wingi wa upinzani Serikali huchelewesha maendeleo kwa makusudi ili kumkomoa mbunge diwani, hizo figisu figisu zote wamezivumilia wakijua ipo siku upinzani utaingia ikulu na kuwafidia machungu yao yote waliyofanyiwa na CCM.Endelea Kukariri hivi hivi ukiwadia chaguzi mnashiriki mkishapigwa za uso endeleeni Kukariri tena,wapiga kura hawawezi kupoteza kura zao kwenu wapinga maendeleo
Pia ni kuomba mungu wakurugenziccm wasitangaze washindi feki na CCM wasiibe kura kufanya uchakachuaji wowote, washikwe na Ganzi wakitaka kufanya uonevu na uovu.Mkuu nakuunga mkono kwa [emoji817]% tupige kura kwa wingi lkn eti tususe kisa hakuna Tume huru...hilo mi nalipinga...kura zangu ni chadema tu kuanzia diwani hadi rais
Hili analijua ni kujitoa fahamu tuAmka ndotoni Mkuu
Kwa hii CCM ya Magufuli, Wapinzani hata wangeungana na jublee ya Kenyatta
Ccm ushindi ni 98%
Ndiyo sababu inanifanya niamini kuwa wameshachokwa. Wanaogopa tume huru kama ukoma.Ukitaka kuwaudhi CCM we watajie neno TUME HURU.
Mkuu M-mbabe, "pasingekuwa na ukandamizaji huo" na mambo kadhaa kama ukiukwaji wa sheria na Katiba..., upinzani ungekuwa na hali ngumu sana!Imagine kusingekuwa na ukandamizaji huo sijui ingekuwaje.
Wewe na hao wenzako msiopiga kura ndio mnatakiwa kupimwa akili. Nyinyi ndio maadui wakuu wa taifa letu. Nyinyi ndio mnaowahimiza CCM waendelee kuliumiza taifa letu.Nauliza hivi kuna Mtanzania mwenye akili timamu atapanga stari kupiga kura?
Wote ambao mmekuwa mkifutilia rallies za vyama vya upinzani (hapa "upinzani" strictly ninamaanisha ACT & Chadema) hapana shaka mtaafikiana nami kuwa mwamko wa wananchi ku support kambi hii ni mkubwa sana pamoja na uwepo wa vitisho kutoka vyombo vya dola. Imagine kusingekuwa na ukandamizaji huo sijui ingekuwaje.
Ni bahati mbaya sana tena sana kambi hii imeamua kuingia uchaguzini mwaka huu kabla ya kwanza kupigania Tume Huru ya Uchaguzi. Ni bahati mbaya sana kwa sababu japo watashinda kwa sehemu kubwa (>55% kwenye urais na >60% ubunge & madiwani), hawatatangazwa.
Wasijidanganye kabisa na mkakati wa eti "kulinda kura" baada ya polling. Wakifanya hivyo tutakuwa tumeamua kumkabidhi ziraili roho za akina Aquiline nyingine nyingi tu. Endapo "kulinda kura" ndiyo utakuwa msimamo, basi viongozi wa upinzani lazima watambue kuwa there'll be a huge price to pay, and dearly. Suala ni je upinzani umejipangaje ku mitigate hili tishio?
Those are only my 2 cents. Food for thought.
Usisahau kupitia video clip hii hapa chini ili uelewe context ya uzi wangu.
Mkuu M-mbabe, nilipokujibu huko juu, nilikuwa sijakusoma huku chini.Ni bahati mbaya sana tena sana kambi hii imeamua kuingia uchaguzini mwaka huu kabla ya kwanza kupigania Tume Huru ya Uchaguzi. Ni bahati mbaya sana kwa sababu japo watashinda kwa sehemu kubwa (>55% kwenye urais na >60% ubunge & madiwani), hawatatangazwa.
Wasijidanganye kabisa na mkakati wa eti "kulinda kura" baada ya polling. Wakifanya hivyo tutakuwa tumeamua kumkabidhi ziraili roho za akina Aquiline nyingine nyingi tu. Endapo "kulinda kura" ndiyo utakuwa msimamo, basi viongozi wa upinzani lazima watambue kuwa there'll be a huge price to pay, and dearly. Suala ni je upinzani umejipangaje ku mitigate hili tishio?
Ambao ndio unaokusumbua sana wewe, au sio?Dalili kuu ya ugonjwa wa akili ni DELUSIONS
Ila we jamaa kwa fix ni mzima sana.. Hivi hiyo tume huru ni tofauti na iliyowapa ushindi kina Qambalo, Mbowe, Matiko na wapinzani wengine? Kubalini mlishajichanganya kwa Lowasa na yaliyofuatia baada ya hapo so hamna mtanzania mwenye akili timamu wa kuwaamini tena.. Vuneni mlichokipanda 2015Nimetembea kama mikoa minne, Mwanza, Mara, Kigoma na Iringa. Huko kote nimeongea na wananchi mbalimbali, nilichogundua ni kuwa bado wananchi wanataka kuona mabadiliko ya chama kilichoko madarakani.
Ni kama kilichotokea uchaguzi uliopita hawajakubaliana na chama kilichopo. Suala la kwamba wananchi wameichoka ccm, hilo wala halina mjadala, ila wanakosa uwanja wa kuonyesha hisia zao. Nilichojifunza ni kuwa watu hawana imani tena na tume ya uchaguzi.