Kuna dawa ya kienyeji ya kutibu ugonjwa wa kisukari?

Wee Binty wee... Haram aleyik utauwa mtu bure...utabeba dhima!!
Kila Tiba ina kipimo chake maalum.
Wacha kupotosha kama kitu hukijui kaa kimya, aliyekuambia dawa ya kisukari hamna ni nani? Labda hospitalini ndio hamna lkn dawa zipo za asili na zenye kuponya, hivyo muwache muhusika apambane kuitafuta mana hospitali washasema dawa ya kuponya kisukari hamna ila ipo ya kutuliza, ss muhusika dawa ya kutuliza kapewa na haitaki mana anataka kupona, ss wewe kwnn unamtisha mwenzio? Watu wamepona magonjwa makubwa na mazito kwa dawa za asili mimi shahidi unasema nini wewe.
 
Kwanini mnakuwa na mzaha namna hii kwenye vitu serious, hv tungekuweka wewe ktk hali ya muhusika alafu mm nacoment huu upumbavu wako hapa ungejisikiaje, be wise na kama huna cha kuchangia wacha usiendekeze siasa kila mahali.
kwani maombi hayawezi kupambana na vita ya uchumi wa sukari
 
Mimi ninaweza kumtibu kisukari alicho kuwa nacho kwa siku 90 aka miezi 3 na atapona kabisa maradhi yake.
Kisukari kinasababishwa na sumu iliyopo katika Kongoso aka Pancreatic ukiweza kusafisha kongosho umeweza kutibu maradhi ya kisukari. Hospitali Hakuna dawa ya kuwezakutibu maradhi ya Kisukari. Dawa zaasilizipo zakuweza kutibu maradhi ya kisukari ninazijuwa na watu wanatumia na kupona maradhi ya kisukari.


 
Tatizo hili nikubwa hapa nchini na duniani, kama waweza kwani nini wajificha usiende ktk vyombo na kueleza neema hiyo??!!. Najua utatafuta visingizio kibao lkn tuwe na utu, baadhi yenu mnatumia kukosa matumaini kwa wagonjwa kuhamisha fedha kutoka ktk mifuko yao na kuiweka katka mifuko yenu.

Hapa sijakutuhumu bali ninaongelea baadhi ya waganga wenzio mimi nina experience na hilo, watu waelezwe ukweli hasa upande wa matumizi ya vyakula na mazoezi.

Pia nina wasiwasi na maelezo yao juu ya kisababishi cha Kisukari wewe wasema ni Kongosho kutoa sumu, wataalamu wanasema ni Kongosho kushindwa kutoa Chemical fulani kwenda kuyeyusha Sukari ndiyo maana wanakupa vidonge / sindano za kutimiza jukumu hilo. Pia wanashauri ufanye mazoezi ili kuyeyusha sukari hiyo mwilini na kuepuka vyakula vyenye sukari nyingi.

"Anyway everything is possible under the sun", kama una dawa hiyo na ushuhuda wa kweli ( siyo kama wale wa kikombe cha Babu) ni vizuri ukaenda mbele zaidi, nakuhakikishia utajiri wa mwendokasi.

Nakutakia siku njema
 
Sure-Binafsi naamini kama mtu akiweza kugundua dawa ya kisukari,Cancer & HIV lazima awe tajiri wa kutupwa dunian.Hizi changamoto huondoa matajiri wakubwa na watu ambao ni so powerful on earth.Government expenditures on public health huwa inaenda sana kufadhili treatment za haya magonjwa. Fanya researches kidogo-Majority ya watu hufa mapema kwa kutumia tiba ambazo hazijathibitishwa kisayansi kwa utapeli wa wachache.
 
Sasa mkuu umeshaandika articles nyingi humu kwenye forum juu ya kutibu wadudu wa vidonda vya tumbo (H pylori) and nothin works,Sasa hii dawa ya kisukari ndo utaiweza kweli? kila ugonjwa wewe huwa unasema unatibu na mtu anapona ikiwemo kisukari,cancer,HIV nk. It seams wewe si mtu wa kawaida on earth 🤣 🤣
 
Tiba ya sukari na ushauri wake huwa inapatikana kwenye hospitals tu. Mitishamba imeondoa wengi kwa uzembe-believe me.
Points to note.
* Dawa za mitishamba ambazo hazijathibitishwa huchangia wengi kuharibu figo na ini.
*Sukari isipokuwa controlled na yenyewe pia huaribu figo pamoja na kuleta madhara mengine mwilini.
 
MTU utibu kansa na ukimwi si unakuwa bilionea.
Jamaa naye ni walewale
 
MTU utibu kansa na ukimwi si unakuwa bilionea.
Jamaa naye ni walewale
Yani hiyo hela wakina Bill & Merinda Gates pamoja na Makampuni makubwa ya dawa dunian wamewekeza kwenye tafiti kwa miaka kupata tiba za Kisukari,Cancer,HIV nk.sidhan kama angekuwa na hzo dawa angekuwa anachat na sisi tena hapa JF,Ingekuwa ni habari nyingine kama hao waliogundua chanjo ya CORONA.
 
Vp wew ukiwa nazo hizo dawa unaweza kujitangaza hadharani
 
Nimegundua tunakosea sana kutibu kisukari kama ugonjwa...kuanzia sasa na kuendelea badili mfumo wako wa maisha kabisaaa ..hautakisikia tena kisukari ...acha sukari,soda, pombe, wanga mwingi ( ugali etc) kama ukiweza acha kabisa wali coz unapandisha sana kisukari..kikubwa ule vyakula recommended kwa mgonjwa wa kisukari bila kusahau bamia na mdalasini(chai)..piga zoezi....kunywa sawa ulizopewa...ukizingatia hayo nakupa mwezi tu itakuwa normal...na ukiwa normal USIRUDIE TENA LIFE STYLE YAKO YA NYUMA....Mimi nilitumia 2 weeks only kutoka 17 hadi normal...Ni mwaka wa pili sasa iko normal....dawa niliacha baada ya miezi 2 .. Usitapeliwe na dawa etc...badili mfumo wako wa maisha only
 
Zipo Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…