Kuna dawa ya kienyeji ya kutibu ugonjwa wa kisukari?

Kuna dawa ya kienyeji ya kutibu ugonjwa wa kisukari?

Wakuu naomba kujuzwa baada ya tatizo hili kisukari nimekuwa natumia uji wa ulezi kama breakfast, je lishe hiii ya ulezi haiwezi leta shida wakuuuuu?
 
Wakuu naomba kujuzwa baada ya tatizo hili kisukari nimekuwa natumia uji wa ulezi kama breakfast, je lishe hiii ya ulezi haiwezi leta shida wakuuuuu?
Baada ya ushauri niliokupa sasa nau unsubscribe uzi wako ukipata mrejesho usisahau kunitag, bye.
 
Wakuu naomba kujuzwa baada ya tatizo hili kisukari nimekuwa natumia uji wa ulezi kama breakfast, je lishe hiii ya ulezi haiwezi leta shida wakuuuuu?
Nenda Hindu Mandal Hosp. au Regency mkuu,wana clinic nzuri sana za diabetes. Nyumbani tuna wagonjwa wa kisukari ambao wamekutwa nao zaid ya miaka 40 iliyopita na bado wana afya njema kwa kuzingatia masharti ya hospitali na kuepuka madaktari wa uchochoroni.Pia ukiweza nunua mashine ya ku monitor sukari yako mara kwa mara ukiwa nyumbani.
 
Hapo unacheza na the same ID.
Mkuu tuheshimiane, mm Mzizimkavu cmjui hata anafananaje, nilipata kumuamini baada ya kutibu ndugu yangu ugonjwa mkubwa tu, lkn humu jukwaani nikiandikaga hv mods huwa wanafuta comment yng ss sijajua ni kwnn, ila jamaa ni daktari mzr tu amini hivyo km hutaki pia wacha usijilazimishe.
 
Ndivyo alivyo huyo sijui anaishi nchi gn mana wasap ukimtumia asubuhi anajibu saa6 usiku, muombe namba ya wasap au nicheki PM nikutumie namba yake.
nimemtumia kwa whatapp lakini hajajibu hadi saiz, nime tuma reminder tena nasubiria tuuu
 
Kwa hyo mtu kutokujibiwa msg ndo kunathibitisha kwamba mtu hawez tumia two different ID? Ngoja niwalete hapa kwenye thread ambao wamekuwa dissapointed na huduma zake nao wanene.
Tatizo kubwa alilonalo Mzizimkavu ni gharama na hicho ndicho watu huwa wanamlalamikia lkn co ufanisi wa dawa zake. Anatibu HIV itakuwa kisukari bhn!!
 
Kwa hyo mtu kutokujibiwa msg ndo kunathibitisha kwamba mtu hawez tumia two different ID? Ngoja niwalete hapa kwenye thread ambao wamekuwa dissapointed na huduma zake nao wanene. kimandoko
Ss ndugu mtu kuwa against na mtu mwingine hiyo sio suluhisho la kusema huyo mtu hafai, amekataliwa Yesu na Mtume Muhammad S.A.W itakuwa binadamu wa kawaida?
 
Hawa wote unaowaita haina mantiki yyte mana watakuja na blaa blaa za hapa na pale hasa chuki binafsi na usikute hata dawa za jamaa hawajawahi kutumia au usikute nao ni waganga lkn mm ninayekwambia hapa ni shuhuda wa macho yangu mawili aaminiye na aamini na asiyeamini na asiamini.
Mbona mkuu unatumia energy kubwa sana ku defend,what are hidding? Umeshasema wewe siyo mwenye same ID,then why does it bother you.
 
Back
Top Bottom