Kuna dawa ya kienyeji ya kutibu ugonjwa wa kisukari?

Alafu mkuu nenda uchunguze ID yng haihusiani na mambo ya waganga hivyo sina muda wa kudiscuss upuuzi unaotaka kuleta hapa kwaheri.
Safari njema mkuu huko uendako,but thread itaendelea kuwepo ili kuelimisha wengine kwenye jamii pana.
 
Njoo Nicheki boss dawa ipo
 
Mfano dawa ipi imewashinda mabeberu harafu sangoma anatibu ? .

kkunasangoma mmoja anasema anatibu HIV ila yeye anatumia ARV za beberu
🤣 🤣 🤣Watu hudanganywa kwa staili tofauti tofauti mkuu, na bila kutumia maarifa huangamia kwa dawa za vichochoroni.Watu wanadanganya wengine kwamba mitishamba inatibu CORONA wakati wao wameweka mashine za kupumulia nyumban na dawa za kizungu wanatumia -Hii dunia inabd watu tujiongeze
 
Mkuu, tafuta mlonge (moringa oleifera; drumstick tree). Mti huu ni dawa, kuanzia mizizi, magome, maua, mbegu,

Pia ni mti- lishe.


YESU NI MWOKOZI
 
nautumiaje Kaka huu mlonge,nimeona inazungumziwa sana kwa kweli
Binafsi huwa ninautumia. Nimeanika majani yake ndani (sio juani) hadi yakakauka, nikayasaga yakawa unga kabisa, nachukua kijiko kimoja asubuhi nakitia kwenye mchemsho wa maji na mchaichai/au tangawizi kisha nakunywa na jioni hivyo hivyo. Mbegu zake huwa nazimenya kisha natafuna tatu tatu kila siku.



JESUS IS LORD.
 
ok wacha niutafute Kaka,natakiwa kutumia continuous au Kuna dozi maalum?
 
ok wacha niutafute Kaka,natakiwa kutumia continuous au Kuna dozi maalum?
Hadi sukari ikiwa normal unaweza acha. Ila pia cha msingi, lifestyle lazima ibadilike kwa maana ya lishe na mazoezi ni muhimu sana.

Zaidi sana tumwamini Mungu aliyetuleta duniani kwa kusudi lake. Ambaye kimsingi ndiye mwenye hatima yetu.


YESU ANAOKOA.
 
Naulizia dawa ya bawasiri mkuu.
 
Ni pm nikupe dawa mkuu usipo pona nakurudishia mshiko wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…