Kuna dawa ya kuacha Pombe?

Kuna dawa ya kuacha Pombe?

Umeona hasara ya ulevi? Mlevi wewe
Tueleze hasara ya ulevi, halafu nenda bar angalia mitambo inayopark kwenye parking, halafu nenda kwenye vijiwe vya kahawa angalia parking zao kama hakuna baiskeli tu.
 
Habari wakubwa hivi kuna Dawa au njia nzuri ya kuacha mtaumizi ya pombe.

Shukran
Dawa ni uamuzi wako na determination. Kwanza ukubali na kuamua kuwa unataka kuacha pombe. Pili kama ulikuwa ni mnywaji sana, usiache ghafla. Punguza kidogo kidogo (tumia hata mwaka mmoja) mpaka utakapoacha kabisa.
 
Back
Top Bottom