KWELI Kuna dawa ya kuzuia maambukizi ya HIV ndani ya saa 72

Taarifa hii imethibitika kuwa ya kweli baada ya kufanya tathmini ya kina
Asante sana mzee na ikitokea pep ilifail huo mwez mmoja wa pep vipimo vya vitasoma positive?
Hakuna Jibu la Moja kwa Moja kuwa PEP imefail ila kama Ikitokea Ukapata Maambukizi na kwa bahati mbaya Ukaathirika Kutokna na Sababu mbalimbali..Ik8wa ni Pamoja na Kuchelewa Kuanza PEP..
Vipimo vitasoma Positive...

Ushauri wangu, Jitahidi Kuanza PEP mapema Atleast Stat pack ya Ndani ya Masaa mawili na isizidi masaa 72
 
Oooh sawa mkuu,,,, Ila yeye alianza 25hrs baada ya kuwa exposed na sasa kamaliza doz ndio majib yapo negative Dr.
 
ukiwa unatumia PEP kwa muda ulioplan let say sa tano kila siku na uka pitiliza masaa mawili toka uo muda jeh itaharibu dozi ya PEP? na for the next day vipi utatakiwa umeze mapema?
 
ukiwa unatumia PEP kwa muda ulioplan let say sa tano kila siku na uka pitiliza masaa mawili toka uo muda jeh itaharibu dozi ya PEP? na for the next day vipi utatakiwa umeze mapema?
Ukipitiliza kwa siku moja Haina tatizo ila usipilize kipa siku!
 
Asante kwa elimu nzuri sana
 
Mimi nimepatiwa vidongo vya F67 as PEP, je ni kweli dawa hii inatumika kama PEP?
 
Zipo ila dozi yake ukiwa unakunywa utakuwa ukiota ndoto za kuvutwa na mizimu ya mababu zako yaani utakuwa na ukimwi uliochangamka kwa kipindi cha dozi ...aweee so poa tujilindeni
Acha kupotosha mzee kama huna cha ku comment soma za wengine tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…