Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio

Ndio iyo delusion nimayoiongelea. Jiandae kiuchumi ndio uoe usijidanganye kuingia ndoa kwa kuamini ndoa inafungua riziki. Utaishia kutengeneza chain ya umasikini kwenye kizazi chako.
 
ukianza kupanda boda kuna wakati unashindwa hata hela ya kuilipia ila ukiwa na gari lazima mshale usimame mahali pake kabla ya kwenda popote
 

A delusional theory typically refers to a belief or set of beliefs that are not based in reality or evidence, often maintained despite strong contrary evidence. These beliefs are characteristic of delusions, which are fixed, false beliefs that are resistant to reasoning or contrary evidence. Delusional thinking can occur in various mental health conditions, such as schizophrenia, bipolar disorder, or certain types of personality disorders.

A delusional theory could refer to a particular system or framework of beliefs that someone holds, even though those beliefs are disconnected from reality. For example, someone might develop a delusional theory about their importance, thinking they are a key figure in a conspiracy or that they have special powers or control over events. These types of theories are not just misbeliefs, but persistent convictions, regardless of the lack of evidence supporting them.

In a broader, non-psychological context, the term "delusional theory" might be used metaphorically to describe any belief or explanation that is considered unrealistic or detached from the truth, though this usage is more informal.
 
Huu uzi umeenda shule mkuu ? Kwa mtu anaefikiri vizuri ataulewa ila kwa wale wenye dhiki za ngono hawawezi kuelewa kitu chchote
 
Kuna jamaa yangu kaoa mwaka juzi mwezi wa nne,alikuwa vyema sana kiuchumi hata viwanja tulinunua karibu karibu,ila baada ya kuoa hela haikai,mara kwa mke,mdogo wa mke,ndugu sijui nani, halafu hakuna freedom,jamaa kawa kama ndezi,akitoka kazini anakimbia nyumbani,gari yake mke wake ndio kaichukua,yaani jamaa amekuwa kama maboga,huwa namuonea huruma sana,mke wake kanionyesha dalili za kutaka duduwasha,nipo natafakari hili
 
Kila nafsi itaonja ndoa, kila mtu atapitamo tu kwa mda wake sahih.

Sema kuna vita vya ndan vya chinichin vinaendlea dhid ya wanawake kwa wanaume. Wanaume tunakandamizwa na sie ndo tunateseka kuliandaa taifa la kesho ila hatuna thaman. Nikama tunatumika iv..
 
Chunguza wanaume wengi wakishaoa wanakuwa wabinafsi , ushiriki kwa jamii unapungua anakuwa busy na familia yake ...Watu walioa hawaogopi kukopa hata kama hana pesa na wengi hawalipi , unakuta familia inamsukuma anakopa bila ya kujielewa ....Mwanangu mmoja kanikop laki mwaka jana , mwezi wa 7 ndio kibati mpaka leo sijapokea hata mia .

Mshahara akipata anakuambia hapa namaliza wote , sibakiwi hata mia kukupa hata pesa ya bando anagongea WIFI ya kazini basi , kiufupi kama nimemsamehe kwa sababu mkewa alikuwa serious anaumwa siku hiyo sio kwamba kaenda kuifanyia hanasa.
 
Mhurumie mwanaume mwenzio.. Karma isje ikakulipa nawew baada ya kuoa
 
Apataye mke apata kitu chema, amepata kibali kwa kwa Bwana, zingatia neno kibali,

Huwez kuwa kiongozi mkubwa bila kuoa, lazima uwe na mke ndipo uaminike, Hata Ben alilazimika kuoa ili awe Raisi, kuna fursa kama hizo huwezi pata kama haujaoa mkuu
Kwahiyo unaoa ili upate fursa?
 
Diamond yuko single
Ali Kiba yuko single
Jeff yupo single, bilgates yupo single, ujue me sio muumini wa kataa ndoa ila nisepe ukweli majamaa wa kataa ndoa huwa wana point fulan zinaweza kukusaidia kwenye maisha ya mahusiano na hizo ndio huwa nadeal nazo...
 
Sometime Yes, wengine wameoa watoto wa viongozi ili wapate connection, kwani unashangaa hilo
Na ndio mana Ben katangulia mbele za haki alioa demu wa mramba ili apate cheo mpare yupo na mama Ben yupo. Kama unawashauri watu waoe kwa koneksheni sasa na nafasi ya mapenz iko wapi?
 
Na ndio mana Ben katangulia mbele za haki alioa demu wa mramba ili apate cheo mpare yupo na mama Ben yupo. Kama unawashauri watu waoe kwa koneksheni sasa na nafasi ya mapenz iko wapi?
Lakin kuoa kulimpa nafasi akawa Mkuu katika nchi, Mapenzi ndiyo hayo hayo mkuu, huwez kuoa usiyempenda
 
Kwamba Unamsaidia Baba mkwe, mama mkwe na shemeji zako unawapeleka medium we kutwa mzima ulimi nje halafu badae anakwambia tuachane hahaha OA kamwanamke unakokaweza hata kakizila huna time nako
 
Aisee
 
.

Ndoa haimuongezei mwanaume chochote chenye thamani, tofauti na mwanamke ambae kwake ndoa ni ajira ya kudumu, ni mradi wa kibiashara na njia rahisi ya kuwa entitled kwenye mali za mwanaume bila kuchangia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…