Sijaoa lakini nafikiria yote hayo kuwa na kiwanja kupunguza wanawake
Kuto Kuoa ama Kuoa hakuwezi kukufanya ufanikiwe ama ushindwe.
Japo Kuoa Kuna nafasi kubwa sana za kukufanya Ufanikiwe.
~Unapooa, kama hujanunua kiwanja utaanza kufikiria kununua na kujenga
~Utaachana na kubadirisha Wanawake, hivyo utakuwa na nafasi ya kutulia na Mwanamke mmoja ambaye mtafanya naye maisha
~Kama ulikuwa na kawaida ya kukesha Baa, Unapooa lazima utaacha hiyo tabia hivyo kukufanya upate muda mwingi wa kujiuliza na kutafakari kuhusu maisha na kuja na mawazo mbadala ya kufanya kuongeza kipato
~Unapata heshima tofauti na ukiwa single, hivyo ni rahisi kuaminiwa Kwa nafasi mbalimbali Kazini hata biashara. Nafasi ambazo zinaweza kukuongezea kipato n.k
Vijana oeni Kwa mustakabali wa maisha yenu ya sasa na baadaye