Anasema kusoma haikua ndoto yake ni shinikizo la wazaziKaenda chuo karudi na mimba sasa wazazi wanahusikaje na yeye kupata mimba?
Atajiju bd hajaletewa gono UTI na ukimwi ndiyo atajua vzr!! Na lala
Anahisi kama asingeenda chuo angekua na maisha mazuriMimba kapata yeye lawama kawapa wazazi utadhani ndio walimshikia miguu wakati anatiwa mimbaπ
Ni kweli kabisa anasema kabla ya kwenda chuo mambo yake yalikua vizuriShida siku hizi wazazi wanafosi kila mtoto asome, kitu ambacho hakina uhalisia.
Ndiyo maana China siyo kila mtoto anakuwa na vigezo vya kwenda chuo, kuna li mtihani lao hilo huwa wanafanya kila mwaka, usipofaulu hakuna kwenda chuo, mkafanye shughuli zingine.
Ulitaka kusema kujaji kwa maana kwamba akae chini ajiulize hatua aliyopo akubaliane na hali kisha aendelee na maisha au ulimaanisha kujali kwamba wazazi wake pamoja na kumpotezea muda mwingi kwa kitu asichokitaka aendelee kuwashukuru?Huyo Binti anatatizo la kutokujaji matokeo.
Wazazi walizaa binti MPUMBAVU.Huyu demu anasema kabla ya kwenda chuo ndoto yake ilikuwa ni kuolewa na mwanaume ambaye walipendana sana na wakati huo Huyo demu alikua anajishughulisha na biashara ya miamala ,sasa anasema wazazi wake walimshauri asome ,kitu ambacho kwa upande wake haikua ndoto yake Tena anasema yeye alitaka kudili na biashara ya miamala na kuolewa basi. Anasema baada ya kwenda chuo biashara yoke ilikufa na pia mchumba wake waliachana ,na huko chuo alirudi na mimba na kwa Hali ilivyo ajira ni kipengere ,anajutia sana uamzi wa kwenda chuo kwa shinikizo la wazazi
Huruma sio malezi...Wazazi walizaa binti MPUMBAVU.
Huko chuoni alienda kusoma au kutafuta mimba?
Kwa hiyo wazazi wake ndio waliompa mimba?Huyu demu anasema kabla ya kwenda chuo ndoto yake ilikuwa ni kuolewa na mwanaume ambaye walipendana sana na wakati huo Huyo demu alikua anajishughulisha na biashara ya miamala ,sasa anasema wazazi wake walimshauri asome ,kitu ambacho kwa upande wake haikua ndoto yake Tena anasema yeye alitaka kudili na biashara ya miamala na kuolewa basi. Anasema baada ya kwenda chuo biashara yoke ilikufa na pia mchumba wake waliachana ,na huko chuo alirudi na mimba na kwa Hali ilivyo ajira ni kipengere ,anajutia sana uamzi wa kwenda chuo kwa shinikizo la wazazi
Una kuta mzazi ana watoto 6 wote ana lazimisha waende shule wafike mpka chuo πShida siku hizi wazazi wanafosi kila mtoto asome, kitu ambacho hakina uhalisia.
Ndiyo maana China siyo kila mtoto anakuwa na vigezo vya kwenda chuo, kuna li mtihani lao hilo huwa wanafanya kila mwaka, usipofaulu hakuna kwenda chuo, mkafanye shughuli zingine.
Kwa upande wa malezi mzazi huwa anajitahidi kumalizia malezi yake, yaani kulea mtoto on his best ways, not a child desires, sasa hio inapelekea watoto wengi hasa wa kike wanapopevuka kushindwa kuhold misisimko ya mwili na kupelekea kujiamulia bila ya kujali kuwa Bado wako chini ya ulezi wa wazazi , hii inapelekea hata wakija kuolewa hawawezi kuhimili misisimko ya ndoa ππ especially kuwa na utii wa kiafrikaUlitaka kusema kujaji kwa maana kwamba akae chini ajiulize hatua aliyopo akubaliane na hali kisha aendelee na maisha au ulimaanisha kujali kwamba wazazi wake pamoja na kumpotezea muda mwingi kwa kitu asichokitaka aendelee kuwashukuru?
Personally,naamini ktk uhuru wa mtu kujiamulia kama tayari binti alishajichanganya mtaani akaona anasogea ilikuwa haina haja kukimbizana nae habari za chuo sijui kuongeza elimu elimu yenyewe hii ya Tanzania isiyomsaidia msomi.
Enzi zetu ilikuwa ni juhudi ya mtoto, ukifaulu wanakupeleka hatua ya mbele, ukifeli basi wanakukaribisha mtaani uendelee na maisha mengine.Una kuta mzazi ana watoto 6 wote ana lazimisha waende shule wafike mpka chuo π
Ndoto ni kusomea alichotaka ila wazazi wakalazimisha asome wanachotaka wao.Anasema kusoma haikua ndoto yake ni shinikizo la wazazi
Sasa hisia asizigeuze uhalisia.. Mbona hajahisi kama angekufaAnahisi kama asingeenda chuo angekua na maisha mazuri
Kwa hiyo wazazi wake ndio waliompa mimba?
Kwani hivi haiwezekani kusoma huku ukifanya biashara?
Kwani haiwezekani ukaolewa na ukaendelea na chuo, au ni chuo cha ngazi gani?
NB: mke wangu nimeoa akiwa mwaka wa pili