... unajua maisha ya chuo wewe?Kaenda chuo karudi na mimba sasa wazazi wanahusikaje na yeye kupata mimba?
What if alikuwa na msongo then dume likampitia?Kaenda chuo karudi na mimba sasa wazazi wanahusikaje na yeye kupata mimba?
Najua... unajua maisha ya chuo wewe?
Dume linapita pita tu bila ridhaa ya binti?What if alikuwa na msongo then dume likampitia?
Huja wahi kuona demu akiwa vulnerable?Dume linapita pita tu bila ridhaa ya binti?
Ndiyo maana halisi ya usemi: 'mwenye shibe hamjali mwenye njaa'.Kwa hiyo wazazi wake ndio waliompa mimba?
Kwani hivi haiwezekani kusoma huku ukifanya biashara?
Kwani haiwezekani ukaolewa na ukaendelea na chuo, au ni chuo cha ngazi gani?
NB: mke wangu nimeoa akiwa mwaka wa pili chuo
Mlisha kwa kikurya ni mwanaume govi....Huyu demu anasema kabla ya kwenda chuo ndoto yake ilikuwa ni kuolewa na mwanaume ambaye walipendana sana na wakati huo Huyo demu alikua anajishughulisha na biashara ya miamala
Sasa anasema wazazi wake walimshauri asome, kitu ambacho kwa upande wake haikua ndoto yake. Tena anasema yeye alitaka kudili na biashara ya miamala na kuolewa basi.
Anasema baada ya kwenda chuo biashara yoke ilikufa na pia mchumba wake waliachana ,na huko chuo alirudi na mimba na kwa hali ilivyo ajira ni kipengere ,anajutia sana uamzi wa kwenda chuo kwa shinikizo la wazazi
Mimi ni ke mkuu,na nimewahi kuwa vulnerable sana ila bado utu wangu niliulinda. Labda kama unamaanisha huyo mdada alibakwa hapo kwa kweli sio makosa yake.Huja wahi kuona demu akiwa vulnerable?
Mimi ni mtu wa mbeya siyo MaraMlisha kwa kikurya ni mwanaume govi....
Kweli we mlishaa
Pengine alienda kusoma mbali na alipokuwa mchumbaKwa hiyo wazazi wake ndio waliompa mimba?
Kwani hivi haiwezekani kusoma huku ukifanya biashara?
Kwani haiwezekani ukaolewa na ukaendelea na chuo, au ni chuo cha ngazi gani?
NB: mke wangu nimeoa akiwa mwaka wa pili chuo
Comments nyingi zinaangalia matokeo ya aina moja tu (mimba) lakini watu hawataki kuangalia kabla ya binti kwenda chuo alikuwa anafanya nin,na ndoto zake zilikuwa zipi...!?Huyu demu anasema kabla ya kwenda chuo ndoto yake ilikuwa ni kuolewa na mwanaume ambaye walipendana sana na wakati huo Huyo demu alikua anajishughulisha na biashara ya miamala
Sasa anasema wazazi wake walimshauri asome, kitu ambacho kwa upande wake haikua ndoto yake. Tena anasema yeye alitaka kudili na biashara ya miamala na kuolewa basi.
Anasema baada ya kwenda chuo biashara yoke ilikufa na pia mchumba wake waliachana ,na huko chuo alirudi na mimba na kwa hali ilivyo ajira ni kipengere ,anajutia sana uamzi wa kwenda chuo kwa shinikizo la wazazi
Chuo kuna dhiki lakini sio kigezo cha kujiingiza kwenye mapenzi holela, kwa sababu alikuwa na uzoefu wa biashara tena biashara ngumu kama yake kwanini asingefanya biashara huko chuo? Mbona wanachuo wengi tu wanafanya biashara hadi wakimaliza wana mkwanja wa kuanzia maisha. Tena akabeba na mimba juu? Yaani umesoma hadi chuo na bado unabeba mimba ilihali haupo tayari kuwa mzazi kwa wakati huo? njia za kuzuia mimba alikuwa hazioni? Vipi kama kabeba na magonjwa mengine maana kinga hakutumia ndio maana mimba imenasa??.Huyo binti hawezi kukwepa lawama.Comments nyingi zinaangalia matokeo ya aina moja tu (mimba) lakini watu hawataki kuangalia kabla ya binti kwenda chuo alikuwa anafanya nin,na ndoto zake zilikuwa zipi...!?
Biashara ilikufa,mpenzi wake waliachana,
Mlioenda chuo mnajua dhiki ya huko hadi watoto wa kike kuamua kujiingiza kwenye mahusiano holela.
Kamaliza chuo hana kazi zaidi ya mimba=mtoto,... hakuna child support.
Kwanini hasilaumu????
Acha kutetea huo ujinga, ilishindikana nini kuendeleza biashara yake akiwa chuo, tena biashara ya Mpesa, tigopesa huko ndio ingeenda vizuri, maisha ya chuo ni vile wewe unayachukulia eti kwakia maisha magumu ndio ajibebeshe mimba? Kwani wanachuo wote huwa wanatoka na mimba vyuoni?Comments nyingi zinaangalia matokeo ya aina moja tu (mimba) lakini watu hawataki kuangalia kabla ya binti kwenda chuo alikuwa anafanya nin,na ndoto zake zilikuwa zipi...!?
Biashara ilikufa,mpenzi wake waliachana,
Mlioenda chuo mnajua dhiki ya huko hadi watoto wa kike kuamua kujiingiza kwenye mahusiano holela.
Kamaliza chuo hana kazi zaidi ya mimba=mtoto,... hakuna child support.
Kwanini hasilaumu????
Kuna classmate wetu chuo alikuwa anamiliki genge,jioni vipindi vikiisha huyo gengeni kwake na alikuwa anauza sana tu. Kuuza mwili wako sio suluhisho la ugumu wa maisha kwa mwanachuoAcha kutetea huo ujinga, ilishindikana nini kuendeleza biashara yake akiwa chuo, tena biashara ya Mpesa, tigopesa huko ndio ingeenda vizuri, maisha ya chuo ni vile wewe unayachukulia eti kwakia maisha magumu ndio ajibebeshe mimba? Kwani wanachuo wote huwa wanatoka na mimba vyuoni?
Nilipokuwa form five nilikuwa nauza vocha za Celtel za kurusha, mama anakutumia uchakarike ndio upate poket money, tulipokuwa chuo kuna rafiki yangu alikuwa na library mtaani akimaliza pindi anaenda mtaani, kuna dada alikuwa anasoma Udsm alikuwa anauza viatu vya kimasai na vikoi, sio wapi ukisoma unazuiliwa kufanya biashara
Sasa hapo wazazi wake wanakosa Gani?Huyu demu anasema kabla ya kwenda chuo ndoto yake ilikuwa ni kuolewa na mwanaume ambaye walipendana sana na wakati huo Huyo demu alikua anajishughulisha na biashara ya miamala