Kuna dini inawafanyia 'brain wash' washirika wake kila mwisho na mwanzo wa mwaka

Kuna dini inawafanyia 'brain wash' washirika wake kila mwisho na mwanzo wa mwaka

Bila kuwasema wakristo au kuiponda imani yao hamujiskii raha😂😂😂Waislamu wa kidgitali mnafurahisha
Mimi ni mkristo safi tena ninahudumu madhabahuni.
Niliwahi kuwa muislamu ila sina mpango wa kuwa muumini wa dini au Imani nyingine zaidi ya Yesu.
Nakemea tabia za ujinga na uibilisi ndani ya kanisa
 
ifike kipindi kila mmoja aheshim imani na miungu ya wengine hii hali yakuona mwingine anasokotwa nakubwabwaja mitandaoni ipo siku italeta taharuki
 
Mimi ni mkristo safi tena ninahudumu madhabahuni.
Niliwahi kuwa muislamu ila sina mpango wa kuwa muumini wa dini au Imani nyingine zaidi ya Yesu.
Nakemea tabia za ujinga na uibilisi ndani ya kanisa
Aaah Kumbe uliwahi kua muislamu😂😂😂😂😂 JASIRI HAACHI ASILI!!!!Endelea tu kutukana wakristo Allah atakulipa thawabu ya mabikira 72 kaka!!!Endelea
 
Twende kwenye mada direct.
Kila wiki ya mwisho ya December kuna dini inawafanyia brain wash washirika wake. Hapo wanasahaualishwa waliyotabiriwa mwaka unaoisha ambayo ni hewa (hayajatimia) na kutabiriwa mambo mapya.

Basi wanapigwa msasa mpaka wanafikia hatua kila muumini analiona ghorofa lake katika ulimwengu wa roho, range, V8, kazi nzuri anaiona hata kama alifeli form 4, na mwisho hutoa sadaka.

Mwaka unaingia wanakula msoto ikifika tena mwisho wa mwaka wanapigwa tena msasa (brain wash).

Hilo jambo ni continuous milele na milele.

Tufanye kazi, tusomeshe watoto jamani.
Tena kuna dini inawafanyia BRAIN WASHING waumini wake muda wote. Yaani waumini wanapigwa msasa mpaka wanaamini kuwa watapata maisha mazuri peponi kwa kuua waumini wa imani tofauti. Mwaka mzima wanakula msasa tu.
 
Ni bora nifanyiwe brainwash,kuliko kufuga majini na mazezeta ya ndugu zangu,,,,,yaaan mtu unaona n bora uumize ndugu zako lkn wewe ubaki na utajiri ndio furaha yenu???
 
Hizo brainwash ndo zimechangia kwa kiasi kikubwa kudumaza na kufirisi jamii nying za kiafrika, leo ukikutana na waanga wa brainwash asee utasikitika sana;

yaani wanajifanya wabishi, umwambii chochote kuusu iman yake,

mda mwingi anaupoteza ktk kutekeleza majukumu ya iman yake fake badala ya kuzalisha kipato cha familia, IPO SIKU YANGU TU NAMI NTABALIKIWA -ndo kauli yao kuu ya kujifariji, mwisho wa siku wakijua kuwa walikuwa wanaabudu ktk njia isiyo sahihi basi wanachoka na kukata tamaa hatimae wanaamua kuwa washirikina na majambazi.
 
Kuna kuhubiriwa mafanikio na kutabiriwa mafanikio,,these're two things different
 
Usipoelewa unachokiamini na kukiabudu utaishia kufanya hivyo.. Mimi nikishasikia tu mtu anajiita nabii au mtupe napiga chini fasta
Ahahahaha
Huu unabii wao ni heri ule wa Mudi aliopewa na bi Hadija na mjomba wake
 
Ahahaha
Hatari sana.
Tena kuna dini inawafanyia BRAIN WASHING waumini wake muda wote. Yaani waumini wanapigwa msasa mpaka wanaamini kuwa watapata maisha mazuri peponi kwa kuua waumini wa imani tofauti. Mwaka mzima wanakula msasa tu.
 
Kuna kuhubiriwa mafanikio na kutabiriwa mafanikio,,these're two things different
Lengo la kifo cha Yesu ni moja tu, kuwakomboa watu na dhambi zao.
Sasa kongamano zima unashindwa kuwafungua kwenye vifungo vya dhambi then unawatabiria watamiliki mali nyingi huo sio uhuni na ufitini wa kazi ya msalaba?
 
Back
Top Bottom