Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
- Thread starter
-
- #21
Mimi ni mkristo safi tena ninahudumu madhabahuni.Bila kuwasema wakristo au kuiponda imani yao hamujiskii raha😂😂😂Waislamu wa kidgitali mnafurahisha
Usipoelewa unachokiamini na kukiabudu utaishia kufanya hivyo.. Mimi nikishasikia tu mtu anajiita nabii au mtupe napiga chini fastaSasa ile Imani ya kuwaibia watu fedha kwa kuwadanganya wanamtolea Mungu huku nabii ananywea k vant na kuhonga hatuitaki
Aaah Kumbe uliwahi kua muislamu😂😂😂😂😂 JASIRI HAACHI ASILI!!!!Endelea tu kutukana wakristo Allah atakulipa thawabu ya mabikira 72 kaka!!!EndeleaMimi ni mkristo safi tena ninahudumu madhabahuni.
Niliwahi kuwa muislamu ila sina mpango wa kuwa muumini wa dini au Imani nyingine zaidi ya Yesu.
Nakemea tabia za ujinga na uibilisi ndani ya kanisa
Tena kuna dini inawafanyia BRAIN WASHING waumini wake muda wote. Yaani waumini wanapigwa msasa mpaka wanaamini kuwa watapata maisha mazuri peponi kwa kuua waumini wa imani tofauti. Mwaka mzima wanakula msasa tu.Twende kwenye mada direct.
Kila wiki ya mwisho ya December kuna dini inawafanyia brain wash washirika wake. Hapo wanasahaualishwa waliyotabiriwa mwaka unaoisha ambayo ni hewa (hayajatimia) na kutabiriwa mambo mapya.
Basi wanapigwa msasa mpaka wanafikia hatua kila muumini analiona ghorofa lake katika ulimwengu wa roho, range, V8, kazi nzuri anaiona hata kama alifeli form 4, na mwisho hutoa sadaka.
Mwaka unaingia wanakula msoto ikifika tena mwisho wa mwaka wanapigwa tena msasa (brain wash).
Hilo jambo ni continuous milele na milele.
Tufanye kazi, tusomeshe watoto jamani.
Ni bora nifanyiwe brainwash,kuliko kufuga majini na mazezeta ya ndugu zangu,,,,,yaaan mtu unaona n bora uumize ndugu zako lkn wewe ubaki na utajiri ndio furaha yenu???Twende kwenye mada direct.
Kila wiki ya mwisho ya December kuna dini inawafanyia brain wash washirika wake. Hapo wanasahaualishwa waliyotabiriwa mwaka unaoisha ambayo ni hewa (hayajatimia) na kutabiriwa mambo mapya.
Basi wanapigwa msasa mpaka wanafikia hatua kila muumini analiona ghorofa lake katika ulimwengu wa roho, range, V8, kazi nzuri anaiona hata kama alifeli form 4, na mwisho hutoa sadaka.
Mwaka unaingia wanakula msoto ikifika tena mwisho wa mwaka wanapigwa tena msasa (brain wash).
Hilo jambo ni continuous milele na milele.
Tufanye kazi, tusomeshe watoto jamani.
AhahahahaUsipoelewa unachokiamini na kukiabudu utaishia kufanya hivyo.. Mimi nikishasikia tu mtu anajiita nabii au mtupe napiga chini fasta
Tena kuna dini inawafanyia BRAIN WASHING waumini wake muda wote. Yaani waumini wanapigwa msasa mpaka wanaamini kuwa watapata maisha mazuri peponi kwa kuua waumini wa imani tofauti. Mwaka mzima wanakula msasa tu.
Lengo la kifo cha Yesu ni moja tu, kuwakomboa watu na dhambi zao.Kuna kuhubiriwa mafanikio na kutabiriwa mafanikio,,these're two things different