Kuna faida gani kuitwa Mume au baba mkivamiwa na vibaka unawacha mke anabakwa mbele ya watoto!

Ni sawa kwa kuwa mwanamke hawajiongezi jambo la msingi anatakiwa kuoa mke mwingine
 
Hata ingekuwa mimi ningekimbia,unajitetea hivyo kumbe mwanamke ana mchepuko
 
Huyu mwanaume hakuwa ktk kikao Cha wanaume Cha mwisho...

Wanaume walikubaliana kuwa Kila mwanaume awe na silaha hata kakisu Fulani hivi...

Umbea wanaotupa wanaume zetu baada ya kuwatoa jasho usiku...
 
Kubakwa muda mwingine kuna raha yake. Hasa kama mumeo ni "kimoja chali"
Mwanamke mwenye bikra pekee ndie mwenye haki ya kuclaim kubakwa, sio dada chuma inapita moja kwa moja halafu anaanza kulialia
 
Tanzania hii hii!? Noma sana.!!

Kama sio stori za kijiweni basi mwamba kazingua sana
 
Zama za kupambania mke kiasi cha kuupoteza uhai wako kisha yeye anaolewa na mwingine zimeisha.....

Zama hizi hakuna mwanamke mwenye thamani ya kugharimu maisha ya mume......

Sio tu kukabiliana na mapanga Bali siku hizi hata kutoa figo ili kuokoa maisha ya mkeo au mumeo ni suala gumu.......
 
Katika scenario kama hiyo sipingi lakini pia wanaweza wasikuue wakakutepetesha pumzi afu na akabakwa mbele Yako na watoto wako huku unaona
 
Kama hili ni tukio la kweli litamtesa sana huyu mtu. Amekimbia kuokoa maisha yake ila anaweza akajiua kwa msongo wa mawazo.

Alitakiwa kufia hapo, Hapakuwa na namna nyingine. Yes option ilikuwa ni kukabiliana na hiyo hali japokuwa ni ngumu mno maana inaweza kuisha vibaya zaidi ya kuuwawa ila aheri upambane kuliko ukimbie uache watoto na mama. Binadamu hatuishi milele hivyo kuna point unaachwa bila option zaidi ya kutokukikimbia kifo.

Kuna jamaa alishaletaga mada kuwa alivamiwa na majambazi na mmoja akataka kula mama akaokolewa na jambazi mwenzake kwa kuzuia hilo. Yeye walishambana na kumfunga. Anasema hilo tukio la jamaa kujaribu kula mama linamtesa mno kisaikolojia.

Inasikitisha, Adui wa mwanaume ni mwanaume. Unavamia sababu ni pesa ila unaamua kumkomoa mwanaume mwenzako kwa kumbaka mkewe mbele ya watoto. SAD.
 
Ndiyo mpaka fursa ipatikane nije na hapo hawa wadudu dawa yao ni Glock 9mm
 
Mkuu, sidhani kama suala ni kuokoa mwanamke tu, suala ni baada ya tukio utaishi vipi na watoto wako uliowaacha hapo wafanywe chochote? Hata baadhi ya wanyama dhaifu kabisa huko maporini hufa wakitetea watoto wao.
 
Hii sentensi πŸ‘‰ "Sasa mwanaume ana miaka nenda rudi hata kufanya mazoezi ya kujiweka sawa hajawahi ye ni wa kuamka. kula , kwenda kazini akirudi kalala." Huenda ikawaponza wengi. Kivpi?
1. Zingatia; Hata ungefanya mazoezi makali kivipi, katika hali kama hiyo usijaribu directly on the spot kujitutumua- utaumizwa au utauawa. Yan kwa maneno mepesi utakuwa unaongezea Idadi ya "waathirika". Hiyo ni Ambush.
2. Kuamka, kula na kwenda kazini kusichukuliwe kama ni udhaifu fulani hiv. Tena kupumzika ni muhimu sana kwa Afya yako. Akina mama msisahau majukumu au kazi ya mwanaume sio kunaniliu tu na kukulinda ww as if umeanzia maisha kwake. Kwani kabla ya hapo ulilindwa na nani hadi kupata mume? Kwani ww ni kitu au kifaa (asset) hadi uwekewe ulinzi? Wanaume wengine wanajisahau na kudhani kwamba wake zao hawajiwezi kwa lolote ni wadhaifu sana na kwa hiyo wanahitaji sana ulinzi wao. Hiyo sio kweli hata kidogo. Ukitaka kuijua jeuri ya mwanamke we mchokoze halafu utaiona ngondo yake. Anaweza kukufungia ndani na kumwaga petroli.......
Kama wapo hapa (Me)waliopita jeshini e.g. Polisi, JW, Magereza, Moto, n.k. n.k. wanaoisoma koment hii watakubaliana nami kwamba kwenye Tukio lolote lile la ki-Usalama, wewe kama mwokozi , unatakiwa cha kwanza kabisa na ni muhimu; kujihakikishia usalama wako binafsi kwanza ndipo umsaidie mwenzako. Tofauti na hapo utakuwa wewe unakwenda kuongeza tu idadi ya marehemu/majeruhi au wahanga wa kwenye tukio husika. Kwa hiyo huyo baba aliyekimbia alitenda vema ila mtoa mada hajasema habari kwamba baadaye kilifuata nini i.e. aliyekimbia alirudisha majibu gani "counterOffensive"
 
Mazoezi ni jambo moja muhimu sana ila kuna mazingira ujasiri unabaki kuwa ni option pekee hata kama huna mazoezi.

Mfano, wewe huwa unafanya mazoezi ya kukutana na fisi? Ila unaweza kukutana nae na ukashangaa ukamkabili mpaka msaada ukaja.
 
Ingawa ni CHAI itoshe kusema jamaa alikosea. Na kwenye huu ulimwengu wa social media ni wapi huko wanaweza kuchoma magogo na matairi barabarani huku wakifanya uporaji hadharani bila kujulikana?
Hapana. Hata kama ni chai, Jamaa hakukosea -alitenda ipasavyo. Alivamiwa i.e. alipigwa ambush. Kwa mana hiyo ilibidi aweze kupata muda walau sekunde chache ajipange i.e. aitathimini hali na chap' kutoa majibu ya shambulizi. Kwa vyovyote vile isingekuwa ni busara kupambana ilhali hujui wako wangapi, wanatumia mbinu gani na wana silaha gani za msaada. Halafu kitu kinafanyika hadharani huenda waokozi wapo mbioni wanakuja au wameshafika kutoa msaada. Tahadhari -unaweza ukachanganywamo hapo kwenye kundi la wahuni na ukasombwa, na ni hadi ufike kituoni kwenye uchambuzi ndo ijulikane we ni nani ili uachiwe huru. Kuwa mwanaume ni pamoja na kutumia zaidi Akili sio kukurupuka au kutenda kwa mhemuko. Unadhani hao wahuni hawafanyi mazoezi?
 
Haya ni mambo ya jeshini mkuu, kwenye mazingira ya familia na vibaka ukipigana wewe huku unatoa maelekezo wengine wakimbie na kupiga keleke za kuomba msaada inawapotezea muda vibaka kuliko kukimbia wewe wao wabaki na familia kukiwa kimya. Vibaka ni waoga wa muda maana wanajua, saa yoyote wanauwawa iwapo msaada utakuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…