Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,755
- 1,939
Hayatofautiani sana na hali ya kawaida kwenye Jamii. Vp e.g. Nyumba imeshika moto -Je, unakaa ndani kuizima au unatoka nje?Haya ni mambo ya jeshini mkuu, kwenye mazingira ya familia na vibaka ukipigana wewe huku unatoa maelekezo wengine wakimbie na kupiga keleke za kuomba msaada inawapotezea muda vibaka kuliko kukimbia wewe wao wabaki na familia kukiwa kimya. Vibaka ni waoga wa muda maana wanajua, saa yoyote wanauwawa iwapo msaada utakuja.
Vivyo hivyo e.g. Familia mmeshazingirwa na vibaka (mmewekwa mtu kati) nadhani utajitahidi kuchomoka ww ili upambane ukiwa sio kati au miongoni mwa waliozingirwa. Kupambana sio tu kwa ngumi,fimbo,risasi,.k. ni pamoja na kutoa hayo maelekezo e.g. lala chini kwa kilugha chenu, washa taa, tumieni sauti kubwa piga mayowe au kelele(Nduru)kuomba msaada n.k.