Kuna faida gani kuitwa Mume au baba mkivamiwa na vibaka unawacha mke anabakwa mbele ya watoto!

Haya ni mambo ya jeshini mkuu, kwenye mazingira ya familia na vibaka ukipigana wewe huku unatoa maelekezo wengine wakimbie na kupiga keleke za kuomba msaada inawapotezea muda vibaka kuliko kukimbia wewe wao wabaki na familia kukiwa kimya. Vibaka ni waoga wa muda maana wanajua, saa yoyote wanauwawa iwapo msaada utakuja.
Hayatofautiani sana na hali ya kawaida kwenye Jamii. Vp e.g. Nyumba imeshika moto -Je, unakaa ndani kuizima au unatoka nje?
Vivyo hivyo e.g. Familia mmeshazingirwa na vibaka (mmewekwa mtu kati) nadhani utajitahidi kuchomoka ww ili upambane ukiwa sio kati au miongoni mwa waliozingirwa. Kupambana sio tu kwa ngumi,fimbo,risasi,.k. ni pamoja na kutoa hayo maelekezo e.g. lala chini kwa kilugha chenu, washa taa, tumieni sauti kubwa piga mayowe au kelele(Nduru)kuomba msaada n.k.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Kumetokea tukio mkesha wa mwaka mpya jamaa mmoja mkoa unahifadhiwa alikuwa akitoka kusheherekea mkesha wa mwaka mpya mida ya saa saba usiku akakuta jamaa wameweka magogo na kuchoma matairi alipotaka kupiga u-turn vibaka wakavamia na kuanza kuvunja vioo jamaa kuona hivyo akafungua mlango akatoka baruti huku nyuma mke akafanywa mboga akabakwa mbele ya watoto ni huzuni sana faida iko wapi kujinasibu mume au baba ikiwa unashindwa ku-guard na ku-protect familia yako kama mwanaume!
cku wakwako akibakwa mbele yako kwa kuvamiwa uje tena hapa kutupa mrejesho
 
Watoto wa kibantu sijui kimakonde mmevamiwa wanaona baba unakula makonde na ushasema kimbieni wakae hapo wakiita dady, dady? Hao ni wa kizungu sio hawa wetu, wetu hizo mbio zake hata vibaka wanaweza wakaangua kicheko.

Halafu unawambia mapema, wakati wa purukushani za awali kabla ya kudhibitiwa, nikufungua mlango atakayepata upenyo akimbie huku anapiga yowe za msaada, akimbie asisimame.

Ila point yako Nimekuelewa boss, hapo hujakimbia, hujatelekeza watoto na mke, umepambana.
Nimeipenda sana hii 👉 "Watoto wa kibantu sijui kimakonde mmevamiwa wanaona baba unakula makonde na ushasema kimbieni wakae hapo wakiita dady, dady? Hao ni wa kizungu sio hawa wetu, wetu hizo mbio zake hata vibaka wanaweza wakaangua kicheko."
Kwa ujumla huo ndo ujasiri wa kiume sio eti kukimbia tu kwa sababu kuna kukimbia. Unapambana pia kwa sababu una lengo la kuiokoa familia yako sio eti kwa sababu unajua "kuzipiga".
 
Kabisa mkuu. Upo sawa sana.
 
Hayatofautiani sana na hali ya kawaida kwenye Jamii. Vp e.g. Nyumba imeshika moto -Je, unakaa ndani kuizima au unatoka nje?
Vivyo hivyo e.g. Familia mmeshazingirwa na vibaka (mmewekwa mtu kati) nadhani utajitahidi kuchomoka ww ili upambane ukiwa sio kati au miongoni mwa waliozingirwa. Kupambana sio tu kwa ngumi,fimbo,risasi,.k. ni pamoja na kutoa hayo maelekezo e.g. lala chini kwa kilugha chenu, washa taa, tumieni sauti kubwa piga mayowe au kelele(Nduru)kuomba msaada n.k.
Ni Kweli.

Kwenye Mazingira ya moto hayana aibu mkuu, na hapa tunaongelea kabla hamjataitika, pale kwenye purukushani za mwanzo, mkishataitishwa wote option ni kujiokoa kwanza wewe kama unavyosema.
 
Hapo kama mwanamke ujue huna maana. Na chanzo cha kutokupigania, huenda kikawa ni wewe mwenyewe. What goes arround comes arround. Mi nahisi ilikuwa fursa nyingine kwa jama mke alie shindikana kufunzwa na wahuni.
 
Sad. Inaumiza mnooo kufikiria tukio kama hili. Hakuna sababu tena ya kuishi hapo.
Ndo maana binafai naona kwanini ufe baadae kwa mikono yako, si ufie tu hapo wakati wa tukio kwa kuleta usumbufu ili kuvuruga hilo linaloendelea. Una nguvu ya kulazimishwa umwingilie binti ila huna nguvu ya kulazimisha wakuulie hapo? Anyway, kuongea ni rahisi ila inasikitisha mno.
Hili ni swali gumu: "Una nguvu ya kulazimishwa umwingilie binti ila huna nguvu ya kulazimisha wakuulie hapo"?
Je, wakikutoa hapo eneo la tukio halafu wakakurudisha baadaye na kukutelekeza hapo; utafanyaje na wameshaondoka hawana haja nawe tena?
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Hahahahahahaha dah! Kumbe vichaa wengi. Aloooo. Kwamba nini? Natamani hii kitu ingekuwa livu aise. Ili tucheke wengi
 
Ni Kweli.

Kwenye Mazingira ya moto hayana aibu mkuu, na hapa tunaongelea kabla hamjataitika, pale kwenye purukushani za mwanzo, mkishataitishwa wote option ni kujiokoa kwanza wewe kama unavyosema.
Hali ndo ilisomeka hivyo kwa jamaa alivyokuta wamepanga magogo na kuchoma matairi. Hakuweza kugeuza gari U-turn. Wakawa tayari ni kama wametekwa. Alichofanya ni yy kuchomoka ila sasa alikimbia ili kuwasaidi Familia au ilkuwa ndo jumla au ilikuwa vipi baadaye, mtoa mada katubania hakusema.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Hili ni swali gumu: "Una nguvu ya kulazimishwa umwingilie binti ila huna nguvu ya kulazimisha wakuulie hapo"?
Je, wakikutoa hapo eneo la tukio halafu wakakurudisha baadaye na kukutelekeza hapo; utafanyaje na wameshaondoka hawana haja nawe tena?
Mkuu, unajua hapa tunaongea, majibu hayawezi kukosekana, ni tofauti na uhalisia tukio ndo limetokea sasa. Tukio linapotokea hakuna Fomula, kila mtu anareact tofauti.

Zamani tulikuwa tunaambiwa usiende porini bila wembe mfukoni ili Chatu akijiviringisha mwilini mwako umchane kwani anavimba kama puto ni rahisi kuchanika na wembe.

Ile inakupa ujasiri wa kutembea porini Ila ukija kwenye uhalisia, Chatu akijiviringisha mwilini una hata huo uwezo wa kuingiza mkono mfukoni utoe wembe?
 
Hali ndo ilisomeka hivyo kwa jamaa alivyokuta wamepanga magogo na kuchoma matairi. Hakuweza kugeuza gari U-turn. Wakawa tayari ni kama wametekwa. Alichofanya ni yy kuchomoka ila sasa alikimbia ili kuwasaidi Familia au ilkuwa ndo jumla au ilikuwa vipi baadaye, mtoa mada katubania hakusema.
Kwenye scenario hii option ni kupoteza muda kwa kuendesha mbele, nyuma kwenye hako hako kanafasi esp rivas sababu mpo ndani ya gari, huku ukitoa maelekezo kuwa ikitokea tumesimama, milango ikifunguka ni mbio kila mtu akimbie.
 
Hapo kama mwanamke ujue huna maana. Na chanzo cha kutokupigania, huenda kikawa ni wewe mwenyewe. What goes arround comes arround. Mi nahisi ilikuwa fursa nyingine kwa jama mke alie shindikana kufunzwa na wahuni.
Mh! Hii ni kali. Lakini si wametoka watokako pamoja? Sasa mke kashindikanaje halafu wakafuatana au kuongozana tena?
 
Hapo kama mwanamke ujue huna maana. Na chanzo cha kutokupigania, huenda kikawa ni wewe mwenyewe. What goes arround comes arround. Mi nahisi ilikuwa fursa nyingine kwa jama mke alie shindikana kufunzwa na wahuni.
Hahahaha.
 
Kwenye scenario hii option ni kupoteza muda kwa kuendesha mbele, nyuma kwenye hako hako kanafasi esp rivas sababu mpo ndani ya gari, huku ukitoa maelekezo kuwa ikitokea tumesimama, milango ikifunguka ni mbio kila mtu akimbie.
Yeah! Kila fursa itakayo patikana hapo itumike kufanikisha kwenye kujiokoa.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom