kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Kumetokea tukio mkesha wa mwaka mpya jamaa mmoja mkoa unahifadhiwa alikuwa akitoka kusheherekea mkesha wa mwaka mpya mida ya saa saba usiku akakuta jamaa wameweka magogo na kuchoma matairi alipotaka kupiga u-turn vibaka wakavamia na kuanza kuvunja vioo jamaa kuona hivyo akafungua mlango akatoka baruti huku nyuma mke akafanywa mboga akabakwa mbele ya watoto ni huzuni sana faida iko wapi kujinasibu mume au baba ikiwa unashindwa ku-guard na ku-protect familia yako kama mwanaume!