Japo kwa mazingira ya uzazi wa mama na mtoto ukimfanyia hivyo ni ngumu kudhurika kiimani sababu agano la damu tena ya uzazi wa mama na mwanae aisee lazima lishike vizuri sana
... hii ni Katika kulinda 'PURITY OF THE RARE GENE OF MY PEOPLE'! na wewe, mnyamahanga, ukioa kwetu, huenda ukaishia kunawa maana watoto wote tutahakikisha ni 'PURE BLOOD'! 🤣