Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
That’s nasty. Gross!
Imani potofu na ujinga wa kiwango cha juu.
Imani potofu na ujinga wa kiwango cha juu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii nimeona kwenye movie ya Marekani inaitwa baby Ruby. Nurse anamkumbushia mzazi kubeba placenta lake ili alile 🤢Na kuna jamii wanakula placenta (kondo)
Kwa nini mtupakae damu wakati tayari tunatoka na demu zenu...Aisee
😳Kuna niniKwa nini mtupakae damu wakati tayari tunatoka na demu zenu...
Hakuna kitu...😳Kuna nini
Then what's that?Hakuna kitu...
Sieleweki...Then what's that?
Sure,na unajua hakuna anaependa kuvurugwa kichwaSieleweki...
Nasemaje tayari tunatoka na damu zanu kwa nini mtupakae tena... Kwa mujibu wa mleta mada...Sure,na unajua hakuna anaependa kuvurugwa kichwa
Okay,mwishoni ndiyo palinichanganya....sorryKwa nini mtupakae damu wakati tayari tunatoka na demu zenu...
Mi nadhani ni baadhi ya Mila za kabila na kabila....mfano kitovu chako sidhani kama ushawahi jua alipewa nani alikinenea NiniNasemaje tayari tunatoka na damu zanu kwa nini mtupakae tena... Kwa mujibu wa mleta mada...
Hata najua basi.Dah!!! Inasaidia nini?
Placenta ipoje?
Dah! Eti kumpa nguvu ya kulea🤣Hata najua basi.
Nurse alikuwa amelifunga kwenye mfuko, mzazi keshatoka hospital na kichanga chake ndio nurse kumkimbilia kasahau placenta lake.
Imagine movie ya wazungu 🤣🤣🤣
Ni km linasaidia kumpa nguvu ya kulea sijui. Ht sijafahamu
Dunia kwa ujumla wake ina tamaduni mbali mbali, na kila tamaduni ina negative na positive zake.Kuna baadhi ya mama huwapaka watoto wao damu inayotoka ukeni punde baada ya kutoka kujifungua.
Kwa nilivyosikia hii kitu ipo sana kwenye jamii ya Watutsi.
Wanasema punde mama anavyokabidhiwa mtoto wake basi hufanya kitu hiki huku akinenea maneno.
Inasaidia mtoto asipate husda yoyote inayosababishwa na walimwengu.
Watu waliofanyiwa kitu hiki huwa hawarogeki, wengine wanakua na nyota kali sana.
Chochote kibaya kinachowapata labda akisababishe mwenyewe ila sio kwa kusababishiwa na watu.
Hii ishu nimeisikia mara mbili, na jamii hizo hufanya jambo hili kwa siri ndio maana sio kila mtu anajua kuhusu hii mila au desturi.
Nikaona nije kuuliza humu sababu kuna wajuzi wa mambo.
Naomba kujua ukweli wa jambo hili.
Mshana Jr LIKUD GENTAMYCINE mdukuzi ngara23 Kapeace
Comment zako zinaniacha hoi na kunifikirisha aiseeHee ngeni kwangu