Tajiri Sinabay
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,333
- 3,619
Natumai umepata muongozo...
Ila ngoja niandike chochote ili na mimi nihesabike nilichangia...

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata najua basi.Dah!!! Inasaidia nini?
Placenta ipoje?
Dah! Eti kumpa nguvu ya kulea🤣
Comment zako zinaniacha hoi na kunifikirisha aisee
Imagine mama ni "sero positive" na ni PMTCT-1 anampaka damu mtoto wake....daah baadhi ya mila ni mtihani ......Kuna baadhi ya mama huwapaka watoto wao damu inayotoka ukeni punde baada ya kutoka kujifungua.
Kwa nilivyosikia hii kitu ipo sana kwenye jamii ya Watutsi.
Wanasema punde mama anavyokabidhiwa mtoto wake basi hufanya kitu hiki huku akinenea maneno.
Inasaidia mtoto asipate husda yoyote inayosababishwa na walimwengu.
Watu waliofanyiwa kitu hiki huwa hawarogeki, wengine wanakua na nyota kali sana.
Chochote kibaya kinachowapata labda akisababishe mwenyewe ila sio kwa kusababishiwa na watu.
Hii ishu nimeisikia mara mbili, na jamii hizo hufanya jambo hili kwa siri ndio maana sio kila mtu anajua kuhusu hii mila au desturi.
Nikaona nije kuuliza humu sababu kuna wajuzi wa mambo.
Naomba kujua ukweli wa jambo hili.
Mshana Jr LIKUD GENTAMYCINE mdukuzi ngara23 Kapeace
Hahaha eti awe strongAnko ako anataka akipata mtoto ampake damu ,awe strong
Mjeda mamboKuna baadhi ya mama huwapaka watoto wao damu inayotoka ukeni punde baada ya kutoka kujifungua.
Kwa nilivyosikia hii kitu ipo sana kwenye jamii ya Watutsi.
Wanasema punde mama anavyokabidhiwa mtoto wake basi hufanya kitu hiki huku akinenea maneno.
Inasaidia mtoto asipate husda yoyote inayosababishwa na walimwengu.
Watu waliofanyiwa kitu hiki huwa hawarogeki, wengine wanakua na nyota kali sana.
Chochote kibaya kinachowapata labda akisababishe mwenyewe ila sio kwa kusababishiwa na watu.
Hii ishu nimeisikia mara mbili, na jamii hizo hufanya jambo hili kwa siri ndio maana sio kila mtu anajua kuhusu hii mila au desturi.
Nikaona nije kuuliza humu sababu kuna wajuzi wa mambo.
Naomba kujua ukweli wa jambo hili.
Mshana Jr LIKUD GENTAMYCINE mdukuzi ngara23 Kapeace
Au baya na mtu bi mdadaKwanini mkuu?
Sasa kupakwa huko damu ya uzazi vipi? , kwani mtoto si anatokea huko kwenye uzazi akiwa tayari kajipakaza full damuKuna baadhi ya mama huwapaka watoto wao damu inayotoka ukeni punde baada ya kutoka kujifungua.
Kwa nilivyosikia hii kitu ipo sana kwenye jamii ya Watutsi.
Wanasema punde mama anavyokabidhiwa mtoto wake basi hufanya kitu hiki huku akinenea maneno.
Inasaidia mtoto asipate husda yoyote inayosababishwa na walimwengu.
Watu waliofanyiwa kitu hiki huwa hawarogeki, wengine wanakua na nyota kali sana.
Chochote kibaya kinachowapata labda akisababishe mwenyewe ila sio kwa kusababishiwa na watu.
Hii ishu nimeisikia mara mbili, na jamii hizo hufanya jambo hili kwa siri ndio maana sio kila mtu anajua kuhusu hii mila au desturi.
Nikaona nije kuuliza humu sababu kuna wajuzi wa mambo.
Naomba kujua ukweli wa jambo hili.
Mshana Jr LIKUD GENTAMYCINE mdukuzi ngara23 Kapeace
Ephen nyota yako ni ipi ? Ili nijue namna ya kuongea lugha utakayo ielewa vizuri.Nitarudi kesho kusoma hii comment tena, leo nimetoka kapa.
Watutsi wapo humu watakuhukum!!! Na baada ya kujibiwa utajiongeza na hatimaye wewe utaweza kuielezea vizuri hiyo mila kuliko hata aliyekujibu 😁😁!Kusikia na kuona vyote ni vitu muhimu sababu vinasababishwa na milango ya fahamu.
Ndio maana nimeuliza wanaojua wajibu.
Hahahaha,ilitakiwa ajue Mila za kwako yeye anataka kuvania Mila za watuHahaha eti awe strong
Kumbe!!!.Na mimi Gamic huwa ni Virgo. Tofauti yangu nawe ni kwamba Ephen ni Virgo mwenye asili ya kike na Mimi Gamic ni Virgo mwenye asili ya kiume. Hata Bikra Maria mama aliyemzaa Yesu Kristo wa kwenye Biblia naye ni Virgo.Virgo