sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Sioni faida yoyote ya mtu kuzikwa na vium=ngo ambavyo kuna watu wanavitafuta kwa udi na uvumba ili kutibu matatizo yao.
Sote tunajiuonea, uhaba wa viungo umefanya kuwepo kwa soko haramu kwa mfano makundi ya kigaidi kama Boko Haram hukamat watu na kuwanyofa viungo na kuviuza kwa bei ili kufadhili shughuli zao za kigaidi
Nadhani ni muda mwafaka umefika wa watu kujisajili kuvigawa endapo wakifa kwa makubaliano yaincentives
Incetives hizi ziwe kama:
kwa sasa hali ni mbaya sana kwa waohitaji viungo, mfano figo na moyo ni viungo ambavyo ni takribani milioni 100 na hii ni kutokana na supply yake kuwa ndogo huku demand (uhitaji) ni mkubwa sana hivyo kusababisha bei kuwa juu.

- kupunguziwa au kufutiwa baadhi ya kodi
- kupunguziwa am kusamehewa kabisa vifungo kulingana na uzito wa kosa
- kupewa upendeleo kwenye ajira
- kupewa mikopo yenye riba ndogo