Kuna Foleni Kali Kati ya Chalinze na Ruvu leo tarehe 08/ 12/ 23 mifa ya Saa 7 usiku

Kuna Foleni Kali Kati ya Chalinze na Ruvu leo tarehe 08/ 12/ 23 mifa ya Saa 7 usiku

Kichwa cha panzi huwezi kujua manufaa ya hii thread. Endelea kuvuta shuka sebuleni kwa shemeji yako[/
mwezi mchanga wewe bilashaka mbweha wa kijani endelea kulelewa na mkeo
 
Ila afadhali umefungua thread sisi tunaotoka Dar Dom Singida au Singida Dom Dar huwa tunakwama sana ukishapita Mdaula kutoka Moro au ukitoka Chalinze hasa usiku. Nafikiri labda ukiacha hili tatizo lililowasilishwa leo pia kuna tatizo jingine pale. Na hili nalo liangaliwe.
Mbona kama code ngumu kuifungua?
 
Back
Top Bottom