Ila afadhali umefungua thread sisi tunaotoka Dar Dom Singida au Singida Dom Dar huwa tunakwama sana ukishapita Mdaula kutoka Moro au ukitoka Chalinze hasa usiku. Nafikiri labda ukiacha hili tatizo lililowasilishwa leo pia kuna tatizo jingine pale. Na hili nalo liangaliwe.